😂😂😂😂 ndio hivyo mzee. Cha muhimu mtu kazi umepata, mengine yatafata tu baada ya hapo kamandaSahihi Dys...7 ila mengine yameoa kabisa.
Sema yanaingia kimbinu yakakomae tu
2017 nilipigwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂 ndio hivyo mzee. Cha muhimu mtu kazi umepata, mengine yatafata tu baada ya hapo kamandaSahihi Dys...7 ila mengine yameoa kabisa.
Sema yanaingia kimbinu yakakomae tu
2017 nilipigwa
Sikupingi Mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio hivyo mzee. Cha muhimu mtu kazi umepata, mengine yatafata tu baada ya hapo kamanda
Jeshi likihitaji litawatafuta tu katika wale waliofanya usaili ila hawakupata nafasi ya kwenda kwa sasa. So ni mpaka wao wakutafute sio wewe uwatafute.Hao reserve wakuu tufahamishane jinsi ya kuingia Kupitia huko Vijana wanamhitaji kufahamu
Jeshi likihitaji litawatafuta tu katika wale waliofanya usaili ila hawakupata nafasi ya kwenda kwa sasa. So ni mpaka wao wakutafute sio wewe uwatafute.
Swali zuri haswaaaAlafu samahani Naona kujulishwa wataokutafuta n watu wa CCP Moshi au wa Makao makuu ili tujue wanazengo tunapambana na kina nan [emoji23]
Ccp kazi yao ni ukufunzi sio kuajiri. Wao wanapelekewa makuruta kutoka HQAlafu samahani Naona kujulishwa wataokutafuta n watu wa CCP Moshi au wa Makao makuu ili tujue wanazengo tunapambana na kina nan [emoji23]
Daah hizi nafasi za jeshi bhana wapigaji wamekuwa wengi sanaMkuu Jw tayari in intake mpya imeingia tujue tunafosi vp ijayo?
Ccp kazi yao ni ukufunzi sio kuajiri. Wao wanapelekewa makuruta kutoka HQ
Daah hizi nafasi za jeshi bhana wapigaji wamekuwa wengi sana
Daah hizi nafasi za jeshi bhana wapigaji wamekuwa wengi sana
Mkuu ,kwan washatoa majina ya usaili TPDFDaah hizi nafasi za jeshi bhana wapigaji wamekuwa wengi sana
Za ndanindani nmesikia baadhi ya vikosi wanatuma SMS leo ya majina waliochaguliwaMkuu ,kwan washatoa majina ya usaili TPDF
vikos vipi walioomba si ni waliotoboa mkatabaZa ndanindani nmesikia baadhi ya vikosi wanatuma SMS leo ya majina waliochaguliwa
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
Watu vikosini wanaitwa chief kama unamtu kambi ya kigoma ulizavikos vipi walioomba si ni waliotoboa mkataba
Chief usiache kupiganisha hukoZa ndanindani nmesikia baadhi ya vikosi wanatuma SMS leo ya majina waliochaguliwa
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
Mbanga Mzito anahitajikaChief usiache kupiganisha huko
ahaa vikosin wameanza mda sana sahiz ndo wanamalizia mbonaWatu vikosini wanaitwa chief kama unamtu kambi ya kigoma uliza
Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
Kuna wengine chinichini wanashikwa mkonoahaa vikosin wameanza mda sana sahiz ndo wanamalizia mbona
Hakuna atakae kupigia simu mzee nafasi zilizobaki zote wataingia watu wenye Konekshen kuna watu wanaingia course wenzao wameshateseka miez mi3 wengine wanaingia kimya kimya had kozi imeshafika Katikati na anapewa chaka la kujificha asiumie na maovyo ovyo ya koziMe naomba kujulishwa vizuri, hii mambo ya reserve ni Kuwa ukipambania ndo unapata au wanakupigia simu wao kama wao au watatoa batch nyingne kama walivyotoa mwanzo au n mambo ya kimya kmya
Sema hii ni kwa PT kwa JW huwezi kuingia katikati ya kozi bossHakuna atakae kupigia simu mzee nafasi zilizobaki zote wataingia watu wenye Konekshen kuna watu wanaingia course wenzao wameshateseka miez mi3 wengine wanaingia kimya kimya had kozi imeshafika Katikati na anapewa chaka la kujificha asiumie na maovyo ovyo ya kozi
Kama huna Konekshen nafasi pekee unayoweza kuipata ni ya hizo pdf zilizotolewa hapo ndo wapo ambao hawana hata koneskshen waomba Mungu pekee zilizo baki zote zinajaziwa na watoto wa wakubwa