Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Dokumenti ikishatiwa sahihi na RPC,RC kwamba hawa ndiyo tumechagua mkoa X hakuna mwingine anaweza ifanyia mafekecho.

Hao mikasi mnawasema wao tayari walishapewa nafasi zao maalum labda 3 kila mzito mmoja hivyo PDF likitoka linatoka na majina ya baba kanituma ila siyo kwamba kuna mtu atafutwa awekwe baba k.

Mtawaona tu CCP baba k wakiingia mmoja moja tena kwa kuchelewa na wakiitwa na kufanyiwa ka usaili kao kadogo tu.
 
Daaaaaaah hatari sana kwamba tena kwakuchelewa hahaha
 
Tupe lonja Mkuu,Wale wa PT HQ sasa hatua iliyobaki ni Bahati au na mambo mengine
 
Inawezekana ikawa mambo yashaisha habari za dodoma ni danganywa toto kuondoa matatizo ya hapa na pale
 
Technician wa ndege unakesha jamii forum kusubir lonja la polisi. Hahaha. wenzako wameajiriwa kwenye makampun makubwa we unasubir gombania goli na watu ambao hawajasoma. unachekesha
You have no idea brother,kaa kimya tu
Bora ungeuliza what happened ila sio kunikashufu namna iyo unadhania mm napenda
Plus kama ulisoma tangazo lile wametaka fundi ndege
Nambie kampuni gani kubwa unayo ijua wewe hapa tz wameajiri hao mafundi ndege
 
Wenzako walikuwepo kwenye usaili kwenye kikosi cha anga...sasa nashaangaa ww upo huku ndugu unalalamika kuhusu polisi kuchukua form 4 failure wakt wanachukua na professionals kibao tu
Sijalalamika mkuu,nafatilia vema tu
Mm sikuenda jkt,pia tuliambiwa tusubirie maana ambao wewe unasema walikuwepo kwenye usahili ni wale wa NIT au wamesoma china.
 
Baada ya polisi wakijakutoa majina yao tarehe isiyo julikana kuna watu watajiua langu jicho tu
 
Sijalalamika mkuu,nafatilia vema tu
Mm sikuenda jkt,pia tuliambiwa tusubirie maana ambao wewe unasema walikuwepo kwenye usahili ni wale wa NIT au wamesoma china.
Wewe umesoma wapi kwani? Kigezo cha JKT ni kigezo mama kwa majeshi yote ndio maana mkifika tu pale kwenye usaili siku ya kwanza mnaanzia sehemu ya kwanza ya kuonesha cheti cha professional yako( cheti cha chuo) na cha JKt unless waruhusu kuchukua ambao hawajapita jkt ndio unaweza kupita. Mimi naongelea based on experience kwa usaili wapolisi tulioudhuria juzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…