Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Haya maisha bhana 😭😭😭😭.
Unakuta hata kibarua Cha kuzibua vyoo mpaka upate connection. Haraf Kuna wadau wanataka kuingia kwenye utumishi kirahisi tu.
Hata intake ijayo tafuta watu wakushike mkono tofauti na hapo utaanza kuhisi unalogwa...
 
kuna kipindi unaweza kuhisi kuna watu wamekuloga..kumbe unajiloga mwenywe
 
Hawajui hao waache tu.
kuna mwanangu alikuwa Oljoro mwaka jana anakuambia baba kanituma wapo sana na wanaingia kozi imeshasogea mbele kidogo kupunguza mahovyo hovyo.
Halafu wanaenda kupigwa manyota , na wengine ni failures Tu mamaΒ£
 
Just imagine na rafki angu ni mgonjwa wa macho anashinda na miwani kila wakati ila baba ake n mkubwa PT tarehe moja wanalisongesha Moshi [emoji23][emoji119]
naomba nisakafie kama hutojali
.........na akitoka hapo anakula kitengo makao makuu...
 
Haya maisha sjui serikali yetu inahitaji vijana wake tufanye kazi gani ili tuweze kujikwamua kiuchumi, , , , hv mpka mtu kuwa na leseni kunahitaji biashara ya namna gani
 
Maana na ndugu yangu tumetoka jakata lkn yy anapiga mishe za vyakula vya kuku kwa wafugaji kachukua fremu lkn msingi haufiki hata milioni 2 leo wamepita wamemuambia afunge awe na leseni
 
Ajira hakuna mtu katafuta kimtaji chake kajiajiri bado mnataka na leseni ya biashara, bado mtaji wenyeeewe haufiki hata milioni 2, sasa mnatakaje
 
Maana na ndugu yangu tumetoka jakata lkn yy anapiga mishe za vyakula vya kuku kwa wafugaji kachukua fremu lkn msingi haufiki hata milioni 2 leo wamepita wamemuambia afunge awe na leseni
Boss,hao huwa hawajari Mimi nafanya biashara ya duka la leja leja,nimekuza mtaji mpaka nikachoka wakija watu wa TRA nikukomaa wapandishe nilichoamua mwaka juzi ni kuanza kununua mashamba tu na kujenga kibanda baada ya hapo nafanya biashara isiyokuwa na frem,ndo njia pekee kijana unatakiwa kufanya km huna mtaji mkubwa ukikimbilia frem umeisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…