Kilwa94
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 2,676
- 3,046
Kama watarudishiwa hiyo hela ya nauli tutaona,mi nimekaa pale...Naona safari hii mambo mazuri, hadi nauli mtarudishiwa. Dalili nzuri hii kwa jeshi letu. Haya tulizoea kuyqona kwa JWTZ. Na wamefanya vizur bora kwenda direct Moshi moja kwq moja sio kuzunguka Dodoma then Moshi