Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hivi jaman kuna lonja yeyote ya majeshi ya wizara ya ndani kuja tena mwakan tuanze kutafuta mbanga
 
Kwa aliesikia Naomb jibu wakuu
kuwa na subra na uwe umejipanga nje ndani, safarii hii tena nimewakosa padogo, nafukuzia safari ijayo. japo nina imani nitapata UTUMISHI. vyombo vya ulinzi hakunaga bahati mbaya ni mwendo wa maelekezo kutoka juu, jipange tafuta network /mbanga iliyo kwenye system itakubeba. kwa uzoefu wangu MOHA mikeka yao huwa inatoka mwisho na mwanzoni mwa mwka hapa tegemea November -january 2023. lazima waje tena
 
Hivi jaman kuna lonja yeyote ya majeshi ya wizara ya ndani kuja tena mwakan tuanze kutafuta mbanga
Lipo ila mwishoni na litachukua watu wengi
Anza kutafuta mbanga kwa kujipendekeza kwa wanene (usiuze utu lkn)
Kama ni mkristo kuwa karibu na kwaya za wazee maana wastafu wengi wa vyombo vya ulinzi hupendelea saana kuwa wanakwaya hasa wakistaafu
Kikubwa nidhamu
 
Jamaa wa ikulu vp JW kinaendelea nini?
 
Connection ambazo sio za ndugu haziji kibahati mbaya tu ila zinajengwa kwa nidhamu

Kuna dogo mwaka 2020 alikuwa ni fundi rangi (alikuwa anafundishwa na kaka yake baada ya kumaliza form six)

Katika harakati zao za upakaji rangi wakajuana na mibanga mbalimbali like mameneja wa Tigo,voda,tanesco,tbs nk
Wakajuana na mibanga wengine wa jwtz polisi tanapa nmb nk

Sasa juzi nikampigia simu kaka yake na huyo dogo nilitaka amwambie dogo aje anipakie rangi dinning room (huwa nampenda aje huyo dogo sababu yupo very humble)

Kaka yake akanijibu kuwa "DOGO ALIPATA CONNECTION NOW YUPO NCHI MOJA WAPO YA middle east ANACHUKUA KOZI YA cyber security......na NYOTA YA PILI...."

In short young man alipata connection kwa kupitia wateja wao wa kazi zao za ufundi nidhamu yake ikambeba nadhani atakuwa na 23 years now

Nitarudi kusema......
Movie gani hii?
 
lazima uwe umepita Jkt miaka 2 au upo kambini tofaut na hapo unatoka kwenye kinyang’anyiro
 
Back
Top Bottom