Kama watarudishiwa hiyo hela ya nauli tutaona,mi nimekaa pale...Naona safari hii mambo mazuri, hadi nauli mtarudishiwa. Dalili nzuri hii kwa jeshi letu. Haya tulizoea kuyqona kwa JWTZ. Na wamefanya vizur bora kwenda direct Moshi moja kwq moja sio kuzunguka Dodoma then Moshi
Hiyo ni kozi ya ajira chief..lolote linawezekanaKama watarudishiwa hiyo hela ya nauli tutaona,mi nimekaa pale...
😂😂😂😂😂😂Kama watarudishiwa hiyo hela ya nauli tutaona,mi nimekaa pale...
Yah utaratibu ulikuw huo lakini na nauli unatoa . Sio kwamba unapakiwa bureNahisi ilikuwa wakienda Dodoma wangepakiwa kwa pamoja
Ningekuwepo kwenye bogi hata wangesema tukutania kigoma then ndo tuje Moshi mm ningetii amri tu Kwan nauli ni nn... Havina maana Kwa Sasa
Mzee wa konekisheni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni ukweli mtupu hata wangesema Twende Kenya turudi dar then Moshi tungeenda kikubwa upo kwenye bogi ……. Ila tuliokosa tunaumia sana yan bas tu mioyo yetu ina maumivu [emoji3064]
Wanaludishiwa mkuu ndo utalatibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee wa konekisheni
Huo utaratibu itakuw wanauanzisha saiv maana tumepita huko sikumbuki kama tulirudishiwa.Wanaludishiwa mkuu ndo utalatibu
Kumekucha[emoji599][emoji390]
Kuna nini kinaendelea kwani?Pressure mood activated... Huu ndo wakati ambao unakaa na simu mara kapiga tapeli anasema
"Unaongea na mhudumu kutoka tigo"
Unaweza ukamshambulia matusi aise
mwingine anakupigia na namba ngeni kumbe ni madeni[emoji28]Pressure mood activated... Huu ndo wakati ambao unakaa na simu mara kapiga tapeli anasema
"Unaongea na mhudumu kutoka tigo"
Unaweza ukamshambulia matusi aise