Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mabogi mawili kiaje mkali?
kule msata ni bogi maalum wale waasi na wakaongezewa na lile bogi la madktari wenye diploma,sahiz hao wano kwnda ni op samia ambao walifanya isahili vikosini na wengine ambao ndo wamepigiwa simu waende wala sio zile waliotangaza
 
Jamani wanajukwaa nasika tpdf washanza kuita watu kwa simu Je ni kweli? Kama ni kweli Kama yupo ambae amepigiwa simu humu alete tafadhali tunaomba ushuhuda wa Hilo ndugu wasakatonge wenzangu.

mimi wapo watu wawili wametembea msata majuzi wamepigiwa simu
 
kule msata ni bogi maalum wale waasi na wakaongezewa na lile bogi la madktari wenye diploma,sahiz hao wano kwnda ni op samia ambao walifanya isahili vikosini na wengine ambao ndo wamepigiwa simu waende wala sio zile waliotangaza
Ahaa kumbe walizotangaza bado hawaenda
 
Sina vigezo mujibu wa sheria mimi naulizia tu kuna manzi yangu anavyovigezo vyote na kaapply ila info kama hizi ndo hapati
Ushauri tu
Kama huyo demu wako akienda huko(kozi) time za kozi mjari kwa vijisenti kadrii ya uwezo wako na akimaliza kozi isisex nae bila kupima ukimwi
 
Sina vigezo mujibu wa sheria mimi naulizia tu kuna manzi yangu anavyovigezo vyote na kaapply ila info kama hizi ndo hapati
Miaka kadhaa hapo nyuma niliwahi kuwa na dem hadi tukatambulishana vijisenti nilikuwa nampa kipindi chote...
Alienda Jkt nipo nae kamaliza nipo nae, nafasi Jw zikatoka akapata ameenda course nipo nae kamaliza nipo nae kapangiwa kituo cha kazi nipo nae, tukakubaliana nikaenda mtolea mahari muhuni nikiwa napambana ili niwe nae karibu.
Ikaja tokea kapata mimba ya jamaa wako kambi moja/ kituo kimoja cha kazi, nikawa sijui nikiwa nawasiliana nae na kuonana nae kufanya maisha. Mimba ikiwa kubwa kidogo akashindwa vumilia akanichana.
Daah niliumia ila sikuwa na jinsi, nikaongea na wazazi wake nikarudishiwa mahari niliyo toa maisha yakaendelea.

NB. Akifanikiwa kwenda usie na matarajio yakuwa wako tena
 
Niamini mimi huyo manzi ipo siku atakutafuta tena hata akiwa ndani ya familia yake na atajutia sana alichokufanyia karma is realy itamtesa sana hiyo ishi maisha yako tu ila ipo siku hutaamini atakavyojiliza
Source: Trust Me
 
Aisee pole sana.Mwanamke ni wako ukiwa nae Karibu,akishakuwa mbali si wako lazima watampiga tu.Sema huyo hakukupenda Kwa dhati,akienda kweli kusaliti huwa ngumu sana.Pole sana.Ila najua siku Moja atarudi kwako na kuomba Msamaha,Sema ndio hivyo atakuwa kachelewa...
 
Aseee pole sana ila hata mimi sina imani nae saaana lolote lile litokealo nimejipanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…