Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Mwingine yupo kakaTafta mwanamke mwingine chief
Ndio hivyo mkuu, nilisha acha yapite napamba maisha yaendeNiamini mimi huyo manzi ipo siku atakutafuta tena hata akiwa ndani ya familia yake na atajutia sana alichokufanyia karma is realy itamtesa sana hiyo ishi maisha yako tu ila ipo siku hutaamini atakavyojiliza
Source: Trust Me
Pamoja mkuuAisee pole sana.Mwanamke ni wako ukiwa nae Karibu,akishakuwa mbali si wako lazima watampiga tu.Sema huyo hakukupenda Kwa dhati,akienda kweli kusaliti huwa ngumu sana.Pole sana.Ila najua siku Moja atarudi kwako na kuomba Msamaha,Sema ndio hivyo atakuwa kachelewa...
Mkuu na hizi zilizotangazwa,, bogi lao linaongezeka Msata au watapelekwa wapi??Ahaa kumbe walizotangaza bado hawaenda
Mwingine yupo kaka
Mzee wa konekisheni tafutaa wako wawee wawili [emoji16][emoji16]Daaah [emoji23]
Mzee wa konekisheni tafutaa wako wawee wawili [emoji16][emoji16]
Nimesikia bog zipo 2 msata ambao hao nasikia wanaenda na la pili oljoroMkuu na hizi zilizotangazwa,, bogi lao linaongezeka Msata au watapelekwa wapi??
Bogi la Oljoro. itakua ndo la hawa walomalizia mkataba au sio??Nimesikia bog zipo 2 msata ambao hao nasikia wanaenda na la pili oljoro
Nasikia kule wapo wengi kinoma apo bado wa nafasi zilizotangazwa yawezekana kikakatwa kibangara kingine OljoroMkuu na hizi zilizotangazwa,, bogi lao linaongezeka Msata au watapelekwa wapi??
[emoji16][emoji16]mkuu naona kabisa asilimia za kuwa nae baadae ni ndogo so naandaa mazingira ya kutokuumia baadaeDaaah [emoji23]
[emoji16][emoji16]mkuu naona kabisa asilimia za kuwa nae baadae ni ndogo so naandaa mazingira ya kutokuumia baadae
Yeah usisubiri maumivu yakukute[emoji16]Sema ndo maisha [emoji23]
Hizi ni kwa rank ya private tu au unaweza kula shavu cardetNasikia kule wapo wengi kinoma apo bado wa nafasi zilizotangazwa yawezekana kikakatwa kibangara kingine Oljoro
Aisee pole Sana!Miaka kadhaa hapo nyuma niliwahi kuwa na dem hadi tukatambulishana vijisenti nilikuwa nampa kipindi chote...
Alienda Jkt nipo nae kamaliza nipo nae, nafasi Jw zikatoka akapata ameenda course nipo nae kamaliza nipo nae kapangiwa kituo cha kazi nipo nae, tukakubaliana nikaenda mtolea mahari muhuni nikiwa napambana ili niwe nae karibu.
Ikaja tokea kapata mimba ya jamaa wako kambi moja/ kituo kimoja cha kazi, nikawa sijui nikiwa nawasiliana nae na kuonana nae kufanya maisha. Mimba ikiwa kubwa kidogo akashindwa vumilia akanichana.
Daah niliumia ila sikuwa na jinsi, nikaongea na wazazi wake nikarudishiwa mahari niliyo toa maisha yakaendelea.
NB. Akifanikiwa kwenda usie na matarajio yakuwa wako tena
Acha waende kila mtu kaandikiwa chake.Humu wengi wameenda Depo ila watu walivyo wasiri kama hawakupata vile nafasi
Uzi umepoa si mchezo kabisa!! Jobless kesho tunaamka sangapi kufungulia Bata