Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Niamini mimi huyo manzi ipo siku atakutafuta tena hata akiwa ndani ya familia yake na atajutia sana alichokufanyia karma is realy itamtesa sana hiyo ishi maisha yako tu ila ipo siku hutaamini atakavyojiliza
Source: Trust Me
Ndio hivyo mkuu, nilisha acha yapite napamba maisha yaende
 
Aisee pole sana.Mwanamke ni wako ukiwa nae Karibu,akishakuwa mbali si wako lazima watampiga tu.Sema huyo hakukupenda Kwa dhati,akienda kweli kusaliti huwa ngumu sana.Pole sana.Ila najua siku Moja atarudi kwako na kuomba Msamaha,Sema ndio hivyo atakuwa kachelewa...
Pamoja mkuu
 
Naona kana kwamba humu watu wanazidi kupungua aiseee.....wengine hawaonekani kabisa
 
Miaka kadhaa hapo nyuma niliwahi kuwa na dem hadi tukatambulishana vijisenti nilikuwa nampa kipindi chote...
Alienda Jkt nipo nae kamaliza nipo nae, nafasi Jw zikatoka akapata ameenda course nipo nae kamaliza nipo nae kapangiwa kituo cha kazi nipo nae, tukakubaliana nikaenda mtolea mahari muhuni nikiwa napambana ili niwe nae karibu.
Ikaja tokea kapata mimba ya jamaa wako kambi moja/ kituo kimoja cha kazi, nikawa sijui nikiwa nawasiliana nae na kuonana nae kufanya maisha. Mimba ikiwa kubwa kidogo akashindwa vumilia akanichana.
Daah niliumia ila sikuwa na jinsi, nikaongea na wazazi wake nikarudishiwa mahari niliyo toa maisha yakaendelea.

NB. Akifanikiwa kwenda usie na matarajio yakuwa wako tena
Aisee pole Sana!

Sent from my SO-02K using JamiiForums mobile app
 
Humu wengi wameenda Depo ila watu walivyo wasiri kama hawakupata vile nafasi

Uzi umepoa si mchezo kabisa!! Jobless kesho tunaamka sangapi kufungulia Bata
 
Humu wengi wameenda Depo ila watu walivyo wasiri kama hawakupata vile nafasi

Uzi umepoa si mchezo kabisa!! Jobless kesho tunaamka sangapi kufungulia Bata
Acha waende kila mtu kaandikiwa chake.
Kikubwa tusiache kutafuta pesa.
 
Back
Top Bottom