Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Vijana mnaosubiri simu au pdf ya TPDF mpaka sasa hivi Fanyeni shughuli zingine, waliotakiwa weshapigiwa simu na wameisha ripoti mwisho ulikua ni tarehe 4 April . Simu zilianza kupigwa tangu tarehe 31. Ahsante
Mkuu sijaelewa unataka kuniambia kwamba nafasi zilizotoka hapa juzi ndio washaondoka kozi tyari au
 
Vijana mnaosubiri simu au pdf ya TPDF mpaka sasa hivi Fanyeni shughuli zingine, waliotakiwa weshapigiwa simu na wameisha ripoti mwisho ulikua ni tarehe 4 April . Simu zilianza kupigwa tangu tarehe 31. Ahsante
Watu bado wanaondoka mkuu kuna mwana wa mtaani hana hata chet cha JKT kasepa leo
 
Yeap ukiwa na fani hizi IT, MD na zingine za afya na Engineering Courses hasa zinazohusiana na Ujenzi kama CIv Eng.. Nk. Chomboni utabebeka kiurahisi

Hii ni kweli kabisa. Na kuongezea tu watu wa auto mech. Majeshini sikuizi ni ngumu kutoboa ukiwa raw
 
Daaaah tatzo la humu kila mtu anaongea la kwake huyu anasema nafasi tayari watu washapigiwa simu wamesepa bhas tena, yule nae anasema watu bado wanaingia kuna mwana katoka mtaani hana hata jkt kaondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…