Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

UZI UMEPOA ILA LINDENI MIILI VIJANA WA KUTAFUTA MBANGA ATAFUTE MWEZI WA TANO JW WANAKUJA KUCHUKUA TENA WATABASE SANA URAIANI WENYE PROFESSIONALS MBALI MBAL MA ENGINEER DOCTOR ITs MADEREVA MAFUNDI.... MUHIMU UWE NA JAKATA TU HAIJALISHI MUJIBU AU KUJITOLEA......ipo confimed hii wakuu sio ronja za kupozana hii ni really
Ni kweli mkuu wanarudi tena
 
Daaaah pole sana mkuu ila kila kitu kinawezekana tu mungu ndio kila kitu sema kuna ile kufumba jicho moja afu herufi zinawekwa mbali kidogo....utaje herufi
Upo sahihi mkuu yan herud za hatua 5 mbele siwez kusoma na hata mtu akiwa mbele kwa hatua 15 simtambui sura yake, kwahali kam hii napata waswas hata wa kutoboa maana nasikia macho pia wanazngatia japo sina hakika
 
Tafuta tiba chief...ww hata gari hutaruhusiwa kuendesha
 
Upo sahihi mkuu yan herud za hatua 5 mbele siwez kusoma na hata mtu akiwa mbele kwa hatua 15 simtambui sura yake, kwahali kam hii napata waswas hata wa kutoboa maana nasikia macho pia wanazngatia japo sina hakika
Pole sana mkuu wanapima aiseee
 
UZI UMEPOA ILA LINDENI MIILI VIJANA WA KUTAFUTA MBANGA ATAFUTE MWEZI WA TANO JW WANAKUJA KUCHUKUA TENA WATABASE SANA URAIANI WENYE PROFESSIONALS MBALI MBAL MA ENGINEER DOCTOR ITs MADEREVA MAFUNDI.... MUHIMU UWE NA JAKATA TU HAIJALISHI MUJIBU AU KUJITOLEA......ipo confimed hii wakuu sio ronja za kupozana hii ni really
Igwee!!
 
Jamaa zangu wamerud toka TMA Mambo magumu
 
Back
Top Bottom