Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Apply kaka me mwenyewe natafuta mtaji kwenye ajira hii niliopo nifungue biashara tu.Living Pablo ualimu wametoa nafasi elfu 13 ...nikaapply sasa nikafundishe badala ya kushika SMG
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apply kaka me mwenyewe natafuta mtaji kwenye ajira hii niliopo nifungue biashara tu.Living Pablo ualimu wametoa nafasi elfu 13 ...nikaapply sasa nikafundishe badala ya kushika SMG
HAmna nouma man....Apply kaka me mwenyewe natafuta mtaji kwenye ajira hii niliopo nifungue biashara tu.
itakua kweli nimecheki kwa link https://fullshangweblog.co.tz/2023/04/12/tamisemi-yatangaza-ajira-mpya-za-walimu-na-afya/Ile syo scam kweli?
nadhani Unapewa posho.. kuhusu mshahara ni mpaka kufuzu mafunzoHivi ukiwa ccp unapewa mshahara kama kawaida au mpaka umalize kozi
ukiwa ccp kama mwanafunzi kuna posho tu, ila kama askari kuna mshaharaHivi ukiwa ccp unapewa mshahara kama kawaida au mpaka umalize kozi
Posho RTS 300k kabla ya makato yaoMkuu kumbe posho ya kozi ni 400k.
LeoWametoa lini mkuu?
kila mwezi bro.. sema hua kuna makato yao. .... kama jakata ile 50k ilikua kila mwezi baada makato unaweza pata ata 30k kwa miezi ya mwanzoniHiyo posho ni Kila mwezi au mpaka umalize mafunzo
Ccp nasikia wanakaribia kumaliza wikiHv Rts,kichaka mwiba na ccp kozi zimeanza?
RTS badoHv Rts,kichaka mwiba na ccp kozi zimeanza?
Uhamiaji nao vp?Ccp nasikia wanakaribia kumaliza wiki
Wanasubiri ramadhan iishe nn?RTS bado
Ndio hivyo kaka, maisha sio kubeba mtutu tu...Mungu akifungua mlango mwingine unaingia tuLiving Pablo ualimu wametoa nafasi elfu 13 ...nikaapply sasa nikafundishe badala ya kushika SMG
Kaka nilikua nataka nikafundishe shule za jeshi kule ..darasani na jeshi ndio mambo napendaNdio hivyo kaka, maisha sio kubeba mtutu tu...Mungu akifungua mlango mwingine unaingia tu
Nikiajiriwa ualimu wa shuleni..itanichukua muda sana kukubaliana na haliNdio hivyo kaka, maisha sio kubeba mtutu tu...Mungu akifungua mlango mwingine unaingia tu