Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Ukiwa TMA inabid uwe unasali sana maana kila siku watu wanarudi mpaka ichukue nyota si mchezo,ndomana wanaringa sana wenye nyota zao wamezipata kwa tabu sana
Nipagumu kweli bro, shule plus mazoezi inachosha sana,
Being an officer wa jwtz si kazi rahisi kabisa.
 
Ukiwa TMA inabid uwe unasali sana maana kila siku watu wanarudi mpaka ichukue nyota si mchezo,ndomana wanaringa sana wenye nyota zao wamezipata kwa tabu sana
Kuringa hutegemea na mtu
Mbona unaweza kukuta copro anaringa kuliko major... Ni bac tu nature ya mtu
Japo wenyewe wanasema nyota hutunukiwa na M/Mungu
 
Yaaaaah wanapewa pass wanaletwaga pale bwalo la lugalo mwenge wakiwa ndani ya suti,upara na laki nne zao za kutumbua mjini den mda ukifika wanatakiwa kukusanyika pale mwenge bwaloni kwaajili ya kurudi msata.
Mkuu kumbe posho ya kozi ni 400k.
 
Back
Top Bottom