methodinho
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 489
- 549
Msata kuna ma injinia na madoctor kumbeHao walio msata sahivi Engineers and Doctors walibebwa toka uraiani ndio ujue kuna uhitaji wa hao watu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msata kuna ma injinia na madoctor kumbeHao walio msata sahivi Engineers and Doctors walibebwa toka uraiani ndio ujue kuna uhitaji wa hao watu sana
Hz mambo za ufundi ufundi pia nazo si wanabebeka tu auYeap ukiwa na fani hizi IT, MD na zingine za afya na Engineering Courses hasa zinazohusiana na Ujenzi kama CIv Eng.. Nk. Chomboni utabebeka kiurahisi
Aiseee watu wanabebana tu hata kama hujapita jktKuna nafasi ya megereza, uko tayari mkuu...?
Mkuu sijaelewa unataka kuniambia kwamba nafasi zilizotoka hapa juzi ndio washaondoka kozi tyari auVijana mnaosubiri simu au pdf ya TPDF mpaka sasa hivi Fanyeni shughuli zingine, waliotakiwa weshapigiwa simu na wameisha ripoti mwisho ulikua ni tarehe 4 April . Simu zilianza kupigwa tangu tarehe 31. Ahsante
aaargh mkuu Umeelewa tayari mbona.Mkuu sijaelewa unataka kuniambia kwamba nafasi zilizotoka hapa juzi ndio washaondoka kozi tyari au
Vijana mnaosubiri simu au pdf ya TPDF mpaka sasa hivi Fanyeni shughuli zingine, waliotakiwa weshapigiwa simu na wameisha ripoti mwisho ulikua ni tarehe 4 April . Simu zilianza kupigwa tangu tarehe 31. Ahsante
Watu bado wanaondoka mkuu kuna mwana wa mtaani hana hata chet cha JKT kasepa leoVijana mnaosubiri simu au pdf ya TPDF mpaka sasa hivi Fanyeni shughuli zingine, waliotakiwa weshapigiwa simu na wameisha ripoti mwisho ulikua ni tarehe 4 April . Simu zilianza kupigwa tangu tarehe 31. Ahsante
SawaNimeeleweka nilichokisema
Yeap ukiwa na fani hizi IT, MD na zingine za afya na Engineering Courses hasa zinazohusiana na Ujenzi kama CIv Eng.. Nk. Chomboni utabebeka kiurahisi
nimeshindwa kuifungua hii codeChochote kinawezekana lakini mpaka tutakapo ugawa mwezi.
WAZI Nipo tayari afandeKuna nafasi ya megereza, uko tayari mkuu...?
😁 Sina mkono huo mkuu.WAZI Nipo tayari afande
Elewa la BornlessOne subiri mwezi ukateSasa tuelewe lipi wakuu
Kwhyo mwezi ukikata ndo inakuwajeElewa la BornlessOne subiri mwezi ukate
Itakuwa kama upo nje anza kuandaa mazingira mapya kama upo ndani tumikia kozi[emoji16]Kwhyo mwezi ukikata ndo inakuwaje