Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Daaaah tatzo la humu kila mtu anaongea la kwake huyu anasema nafasi tayari watu washapigiwa simu wamesepa bhas tena, yule nae anasema watu bado wanaingia kuna mwana katoka mtaani hana hata jkt kaondoka
Hao Wana mibanga wewe ndio ukisikia watu wanaoingia kwa meseji ndio hivo mkuu au hujawahi pita jkt mzee
 
UZI UMEPOA ILA LINDENI MIILI VIJANA WA KUTAFUTA MBANGA ATAFUTE MWEZI WA TANO JW WANAKUJA KUCHUKUA TENA WATABASE SANA URAIANI WENYE PROFESSIONALS MBALI MBAL MA ENGINEER DOCTOR ITs MADEREVA MAFUNDI.... MUHIMU UWE NA JAKATA TU HAIJALISHI MUJIBU AU KUJITOLEA......ipo confimed hii wakuu sio ronja za kupozana hii ni really
 
Sio mbali hio May maana April ndo imeisha hivooooooo

Hapa April Kuna intake imeingia msata na bado hii ambayo ina wait kwa sasa na may tena mbona mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Umekula kitengo nini?
 
Na hz zilizotangazwa hapa juzi....imekuwaje
 
Hizi ndio habari sasa🙏🏾
 
Kaka embu tuangalizie vipi reserve za PT bado hawajapewa go ahead?
 
Wakuu nahili tatzo langu la macho ,( naona karibu tu, sion ktu cha mbal) vpi nitatoboa kwenye vipimo jw, polisi au magereza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…