Hassan heyday
Member
- Aug 12, 2017
- 37
- 25
Una maanisha wale waliongia mwezi April mwanzoniBado hawajaanza kuita,Waliokuwa wanaenda ni wale waliokuwa jkt vikosini na Raia wenye Connection wameenda pia.
itakuwaUna maanisha wale waliongia mwezi April mwanzoni
Kozi inaanza mwez wa tano so bado wapo waliokuwa wanaenda kwa maelekezo.Una maanisha wale waliongia mwezi April mwanzoni
Ongezea nyama hii kauliMpaka watu wengine wapunguziwe oljoro hapo
Umeapply lakin?Nafasi za ualimu elfu 12..wameapply watu wengi mara 10 zaidi ya nafasi
Tatzo la ajira ni changamoto sana na hapo kuna wengine hawajasoma ualimu ila watapata hizo nafasi
Ninachotaka kusema wadau ambao bado hatujazama kwenye system vzuri ...tutumie fursa na kazi zilizopo mbele yetu kwa malengo kama una biashara ikazanie,kama unalima pambania sana tusikate tamaa kokote kambi tu mimi nimesoma kidogo ila kazi gereji nishafanya,vibarua nimefanya ,ukonda nimepiga kidogo mabasi ya mkoani
Sasa hivi nataka nianze kutafuta connection tena nirudi kwenye mabasi ya mikoani ikiwezekana nishike usukani kabisa
All in all
Tusisahau kuishi maisha yenye lifestyle nzuri kula vizuri,piga mazoezi,nenda ibadani ,angalia mpira na tusisahau kunywa divai kidogo kwa ajili ya kuweka mwili sawa
Msiwaze sana kuhusu ugumu wa maisha msiwe na stress sana na usijilinganishe na mtu...
Bado aise
Natafuta chuma moja nipige gia tu
Mbona umegive up mapema?Natafuta chuma moja nipige gia tu
Nitakata tamaa nikifa tu chief
Uzi umepoa mwanangu acha tu.UZi umepoa
Oya ndege..UZi umepoa
[emoji23][emoji23][emoji23]wakuite muasi wakuweke kibao cha range watest Sem Automatic Rifle zaoOya ndege..
Kama vipi tuibuke msata hapo RTS tujifanye tumeenda kwa maelekezo[emoji28][emoji16]..
You never know Mwanangu.[emoji19]
Imebaki nini mkuu tupe lonjaimebak tpdf tuu