Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za ualimu elfu 12..wameapply watu wengi mara 10 zaidi ya nafasi
Tatzo la ajira ni changamoto sana na hapo kuna wengine hawajasoma ualimu ila watapata hizo nafasi
Ninachotaka kusema wadau ambao bado hatujazama kwenye system vzuri ...tutumie fursa na kazi zilizopo mbele yetu kwa malengo kama una biashara ikazanie,kama unalima pambania sana tusikate tamaa kokote kambi tu mimi nimesoma kidogo ila kazi gereji nishafanya,vibarua nimefanya ,ukonda nimepiga kidogo mabasi ya mkoani
Sasa hivi nataka nianze kutafuta connection tena nirudi kwenye mabasi ya mikoani ikiwezekana nishike usukani kabisa
All in all
Tusisahau kuishi maisha yenye lifestyle nzuri kula vizuri,piga mazoezi,nenda ibadani ,angalia mpira na tusisahau kunywa divai kidogo kwa ajili ya kuweka mwili sawa
Msiwaze sana kuhusu ugumu wa maisha msiwe na stress sana na usijilinganishe na mtu...
Kazi za garage zipoje?
 
Vingine ni siri ya kambi mkuu
Mkuu endelea kushusha lonja aisee..

Ila haya majeshi acha tu aisee..

Unapambana kupata nafasi then unapata afu dakika ya mwisho ukipigwa 'full blood screening' unaambiwa kua Unfit[emoji19]
 
Duuuh hapo kwenye macho nitatoboa kweli next time [emoji3064] me kuona Naona vizuri ila sometimes mbali sana sion ila nipo fresh tu
Acha tu mkuu..

Me tumakovuu viduchuu,Naona inaweza pia kua kipengele kama wewe.
 
Most common huwa ni hepatitis,Ngiri,Bawasiri,vyeti,kutokuwa na uvungu mguuni,Kutoona vzr,HIV.
Huwagundua kwa kufanya vipimo vya Damu na physical examination.
Bawasiri lazima makalio yapekechuliwe..!!.

kwa mliopiga usahili pale DPA, tochi ya PT na JW ni the same.?
 
Hii huwa ina uma sana.. umezama kabisa kihangaiko, alafu baadae unaambiwa unfit, urudi nyumbani.

Daaa
Inaumiza sana.....hususani ndio umetokea jakata....lkn kwa wale waliokuwa kitaaa umakini unahitaji kama kuna mambo yako kitaa yalikuwa yamekaa sawa usiwakache maana huwezi jua , kama utatoboa fresh ila kama ngoma ngumu unarudi zako kitaa unaendelea na misje zako ulizoacha
 
Kuna mwamba mmoja hvo hvo aliingia kihangaiko akaonekana unfit alivyorud mzee wake akaenda lugalo pale kumpima akaonekana yupo vzr tu kiafya na utimamu wa mwili..mzee wake akamaind akawapgia smu na kuuliza kwann karudishwa kijana wake na wakt yupo vzr hana tatzo lolote, wakajitetea kusema kwamba hawakujua kama ni mwanae lkn pia watu ni wengi hvyo walikuwa wanapima kwa haraka haraka....bhas dogo akamuambia mzee wake ampeleke magereza dogo kapiga kozi kule kamaliza......
 
kwani lini watu mtaani wanaweza pigiwa cm maana tpdf sijawai kuwaamini walitufanyia usahili op makao na kuwachukua watu kwa message watoto wa maskini tuliishia kutoboa mkataba na huku wanaweza wakapotezea sijawai kuwaamin tangu wafanye vile
 
Back
Top Bottom