Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
😅😅😅Oya ndege..
Kama vipi tuibuke msata hapo RTS tujifanye tumeenda kwa maelekezo[emoji28][emoji16]..
You never know Mwanangu.[emoji19]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅Oya ndege..
Kama vipi tuibuke msata hapo RTS tujifanye tumeenda kwa maelekezo[emoji28][emoji16]..
You never know Mwanangu.[emoji19]
Unafika pale unaawaambia mpigie mama ..yeye kaniambia nije hpa nitapokelewa..Oya ndege..
Kama vipi tuibuke msata hapo RTS tujifanye tumeenda kwa maelekezo[emoji28][emoji16]..
You never know Mwanangu.[emoji19]
badoIVi wale walio omba mwezi ulio pita JW bado majibu yao kutoka au
Hivi wakiitwa wataripoti Msata ama
Duuh kumekuchaLeo unfit wamesomwa RTS kihangaiko so watarudishwa na replacement itafanyika kucover gape idadi ya waliopungua
Hatari vigezo Gani walitumia kuwajua kuwa ni unfitLeo unfit wamesomwa RTS kihangaiko so watarudishwa na replacement itafanyika kucover gape idadi ya waliopungua
Ccp vp ronja zake?Leo unfit wamesomwa RTS kihangaiko so watarudishwa na replacement itafanyika kucover gape idadi ya waliopungua
Hukoh sina mtu kakaCcp vp ronja zake?
Daaah hz ndio mambo zinakatisha tamaaa aiseeLeo unfit wamesomwa RTS kihangaiko so watarudishwa na replacement itafanyika kucover gape idadi ya waliopungua
Mambo ni mengi mzee kule...mengine hatuwezi jua...ila hususani vipimo tu...daah...inahuzunisha sanaHatari vigezo Gani walitumia kuwajua kuwa ni unfit
Daah hebu waza ndo ukute vijana wengi waliokaa jkt na ndio wameenda bog la ajira wakijua wanavaa mshati alafu leo hii wanaambiwa unfit....kambini kwao hawatakiwi tena ni kurudi nyumbani hapo....inaumiza sana na kusikitishaLeo unfit wamesomwa RTS kihangaiko so watarudishwa na replacement itafanyika kucover gape idadi ya waliopungua
Most common huwa ni hepatitis,Ngiri,Bawasiri,vyeti,kutokuwa na uvungu mguuni,Kutoona vzr,HIV.Hatari vigezo Gani walitumia kuwajua kuwa ni unfit
Hivi vigezo sio vya waliorudishwa leo ila nahisi kuna walioangukia sehemu mojawapo ya hizo.Most common huwa ni hepatitis,Ngiri,Bawasiri,vyeti,kutokuwa na uvungu mguuni,Kutoona vzr,HIV.
Huwagundua kwa kufanya vipimo vya Damu na physical examination.
Leo wamerudishwa kwasababu gani!??Hivi vigezo sio vya waliorudishwa leo ila nahisi kuna walioangukia sehemu mojawapo ya hizo.
Most common huwa ni hepatitis,Ngiri,Bawasiri,vyeti,kutokuwa na uvungu mguuni,Kutoona vzr,HIV.
Huwagundua kwa kufanya vipimo vya Damu na physical examination.
Kwa hiyo wata tangaza mwezi wa ngapi?Leo unfit wamesomwa RTS kihangaiko so watarudishwa na replacement itafanyika kucover gape idadi ya waliopungua