Nafasi za ualimu elfu 12..wameapply watu wengi mara 10 zaidi ya nafasi
Tatzo la ajira ni changamoto sana na hapo kuna wengine hawajasoma ualimu ila watapata hizo nafasi
Ninachotaka kusema wadau ambao bado hatujazama kwenye system vzuri ...tutumie fursa na kazi zilizopo mbele yetu kwa malengo kama una biashara ikazanie,kama unalima pambania sana tusikate tamaa kokote kambi tu mimi nimesoma kidogo ila kazi gereji nishafanya,vibarua nimefanya ,ukonda nimepiga kidogo mabasi ya mkoani
Sasa hivi nataka nianze kutafuta connection tena nirudi kwenye mabasi ya mikoani ikiwezekana nishike usukani kabisa
All in all
Tusisahau kuishi maisha yenye lifestyle nzuri kula vizuri,piga mazoezi,nenda ibadani ,angalia mpira na tusisahau kunywa divai kidogo kwa ajili ya kuweka mwili sawa
Msiwaze sana kuhusu ugumu wa maisha msiwe na stress sana na usijilinganishe na mtu...