Am_tunnechi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2022
- 1,060
- 1,956
JITAHIDI KUISHI NA WATU VIZURI HAIJALISHI UWE TAJIRI AMA MASIKINI..Wadau mbona tpdf limekua genge la wauni wanatangaza ajira march na kusema haziuzwa lakini mpaka sasa watu wanaenda kwa message mara naskia wengne waliopganisha wameambiwa wakaripoti oljoro tarehe 20 jwtz kwasasa watoto wa maskini kutoboa ni ngum wanaweza wakapga simu hadi watu wakajaa wote ni mibanga sijui nani hatarudisha jeshi la zaman alikua kama hili mtoto maskin kutoboa labda pt au
Wewe ndio mungu ?Na hauwezi kupata
Akili zako fupi..Kama PT unashindwa kuzama Tiss sio rahisiii
Luten konekisheniWakulungwa jamani nataka kuuliza kwa mfano ukaingia jeshini ila una degree kwa mfano hii pt umeingia za degree zako…….. napenda kujua inakuwaje mpka unapata nyota zako maana si wanasema ukiwa na degree unaanza na nyota moja
So nataka kujua unakaa muda gani mpka kupata hiyo nyota na mpka kupata hiyo nyota inabidi upige tena kozi Naomba kujuzwa [emoji18]
Luten konekisheni
Naam RTOHahahah OCD mwenyew
Naam RTO
Lazima upige kwanza kozi ya awali, ile ambayo unaanza na shati tupu, halafu baada ya hapo ukifanikiwa kuchaguliwa kwenda uofficer kuna course nyingineWakulungwa jamani nataka kuuliza kwa mfano ukaingia jeshini ila una degree kwa mfano hii pt umeingia za degree zako…….. napenda kujua inakuwaje mpka unapata nyota zako maana si wanasema ukiwa na degree unaanza na nyota moja
So nataka kujua unakaa muda gani mpka kupata hiyo nyota na mpka kupata hiyo nyota inabidi upige tena kozi Naomba kujuzwa [emoji18]
Lazima upige kwanza kozi ya awali, ile ambayo unaanza na shati tupu, halafu baada ya hapo ukifanikiwa kuchaguliwa kwenda uofficer kuna course nyingine
unaishi na watu vizuri lakini ni raia sio kila unayemzania anapoishi kunanajeshi na ilo jeshi lako lakusema mpaka connection ndo huende,,,,,sio la haki kikubwa warudishe system ya zaman watu wachaguliwe kwa haki kwaio watoto wa maskin watakua wanaenda jkt kujitolea na wakitarajia siku watapata fursa zikija ambae hana sifa anaenda kwa message kikubwa watende haki wabadilishe mfumo vijana wanamkumbuka hadi cdf mwamunyange kwa jeshi lake vijana wamekua wakifanyishwa rokoo eti usahili kuanzia op makao had samia wote wanataka national cake mwisho kwenye koz yanatoroka kwasababu wanaenda kwa msg hawana uchungu wa nafasi hio..JITAHIDI KUISHI NA WATU VIZURI HAIJALISHI UWE TAJIRI AMA MASIKINI..
KWANI CONNECTION NI KUISHI KWAKO NA WATU VYEMA NA SIO PESA KAMA UNAVYODHANI..
PIA PUNGUZA KULALAMA HOVYO JUU HAKUTOSAIDIA..
MUOMBE MUNGU WAKO AKUKUTANISHE NA WATU SAHIHI..
Nyota inaendewa course haupewi kama karanga. Kama unaona kupata nyota rahisi ifate angani mkuu.Wakulungwa jamani nataka kuuliza kwa mfano ukaingia jeshini ila una degree kwa mfano hii pt umeingia za degree zako…….. napenda kujua inakuwaje mpka unapata nyota zako maana si wanasema ukiwa na degree unaanza na nyota moja
So nataka kujua unakaa muda gani mpka kupata hiyo nyota na mpka kupata hiyo nyota inabidi upige tena kozi Naomba kujuzwa [emoji18]
Sawa chief 🙏🏾🙏🏾Akili zako fupi..
Wewe unajua kesho ya mtu ?
Mr kimyaZimeshapita tayari ila mwezi wa 10 zinaweza kuwepo tena
Mwaka 2015 mpaka 2017 mwishoni nafasi zilitolewa kama njugu watu waliingia kwa fujo mno (connection hasa Uvccm)
Then kuanzia 2019 mwanzoni ikaanza vetting kali ya kutoa magugu maji yalioingia kimchongo na wasio na vigezo
So toka hapo bila kuwa na vigezo angalau kwa 80% HAUTOBOI labda uwe na kitu special
Hakunaga lonja huko, hao jamaa wasikie tu aiseeMaafande ivi hakuna aliye pata lonja za usalama wa Taifa
Nambie mkuuMr kimya
Nenda ofisi za NIDA now wapo active saanaWakuu mtu wa nida Kama upo umu njoo inbox Nina tatzo kdgo
Sawaaa mzee wa ikuluNenda ofisi za NIDA now wapo active saana
Kiongozi me nimekuja inbox naona kimyaNenda ofisi za NIDA now wapo active saana