Am_tunnechi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2022
- 1,060
- 1,956
JITAHIDI KUISHI NA WATU VIZURI HAIJALISHI UWE TAJIRI AMA MASIKINI..Wadau mbona tpdf limekua genge la wauni wanatangaza ajira march na kusema haziuzwa lakini mpaka sasa watu wanaenda kwa message mara naskia wengne waliopganisha wameambiwa wakaripoti oljoro tarehe 20 jwtz kwasasa watoto wa maskini kutoboa ni ngum wanaweza wakapga simu hadi watu wakajaa wote ni mibanga sijui nani hatarudisha jeshi la zaman alikua kama hili mtoto maskin kutoboa labda pt au
KWANI CONNECTION NI KUISHI KWAKO NA WATU VYEMA NA SIO PESA KAMA UNAVYODHANI..
PIA PUNGUZA KULALAMA HOVYO JUU HAKUTOSAIDIA..
MUOMBE MUNGU WAKO AKUKUTANISHE NA WATU SAHIHI..