Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hili tangazo la kitapeli magereza hawaajiri wazanzibar
Hata mimi nimejiuliza sana maana magereza sio Idara ya Muungano, Japo Maafisa wao wamekuwa wakisoma hapo UKONGA mara nyingi tu, ila hili Tamgazo lipo hadi Website ya Jeshi
 

Attachments

  • Screenshot_20230509-223844_Chrome.jpg
    Screenshot_20230509-223844_Chrome.jpg
    116.4 KB · Views: 8
Kaka acha matani mimi nimesoma kada ya ualimu sayansi ila huwa naapply afisa mahusiano makampuni ya madini [emoji3][emoji3]
Na huwa naitwa hadi interview nimeenda Geita mara mbili sasa
[emoji2][emoji2]afisa mahusiano kwel kaka unajitungua
 
Back
Top Bottom