Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
[emoji23][emoji23][emoji23]hadi kustaafu unasahau maeneo yakoSi mchezo Kampuni ya madini salary yao unanunua kiwanja kila mwezi [emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]hadi kustaafu unasahau maeneo yakoSi mchezo Kampuni ya madini salary yao unanunua kiwanja kila mwezi [emoji3]
inaweza ikafika hatua akanunua kiwanja chake mara mbili😂😂[emoji23][emoji23][emoji23]hadi kustaafu unasahau maeneo yako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]Ingawa ni ngumu kupata
Wizara ya Mambo ya Ndani,taasisi zao zote ni za Muungano !!!Hata mimi nimejiuliza sana maana magereza sio Idara ya Muungano, Japo Maafisa wao wamekuwa wakisoma hapo UKONGA mara nyingi tu, ila hili Tamgazo lipo hadi Website ya Jeshi
Ndyo sio idaraIla sio Idara ya Muungano mkuu
Nani kasema!?? Magereza pekee sio MuunganoWizara ya Mambo ya Ndani,taasisi zao zote ni za Muungano !!!
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Ukifanikiw kupat kazi GGM au Barricks..hata usisumbuke na haya makazi ya serikaliSi mchezo Kampuni ya madini salary yao unanunua kiwanja kila mwezi 😀
Wapo vzuri haswaaUkifanikiw kupat kazi GGM au Barricks..hata usisumbuke na haya makazi ya serikali
Uhakika huo japo hawajaijumuisha paleeKama ni Mwalimu tena Sayansi Omba, magereza wana Shule ya Sekondari kwa O'level na A' level
Yah halafu kila mwaka unamtolea Bwana sadaka kubwaa mnoooo[emoji23][emoji23][emoji23]hadi kustaafu unasahau maeneo yako
AU ukampangishia mke mdogo kwenye apartments ulizojenga 😀inaweza ikafika hatua akanunua kiwanja chake mara mbili😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23]mambo ya Starehe ya Ferooz alitoka na wanawake wengi mpaka akawa anawatongoza tenainaweza ikafika hatua akanunua kiwanja chake mara mbili[emoji23][emoji23]
Yeah itabidi kupambana na uko kupata nafasiYah halafu kila mwaka unamtolea Bwana sadaka kubwaa mnoooo
Nipe hints ,amesema unapojibu tafadhali taja,amemanishaje kuhusu apo juu kwenye zile contacts zao zitajwe wapiUhakika huo japo hawajaijumuisha palee
Ww fanya yote ila usisahau kuaandika anwani ya unapotumaNipe hints ,amesema unapojibu tafadhali taja,amemanishaje kuhusu apo juu kwenye zile contacts zao zitajwe wapi View attachment 2617205