mhuri25
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 2,780
- 3,733
Hata astashahada unapata ila utaosotea uje uipate tofauti na Shahada na Stashahada hawa nao wanavuta kidogoHivi kwa idara ya mambo ya ndani kupata star [emoji92] si mpaka uwe na degree???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata astashahada unapata ila utaosotea uje uipate tofauti na Shahada na Stashahada hawa nao wanavuta kidogoHivi kwa idara ya mambo ya ndani kupata star [emoji92] si mpaka uwe na degree???
Daaah ni nouma aiseBogi la proffesionals hizi....za ndani kabisa course yao inaweza kuwa extended wakatoka na vyeo kabisa.
U mean kama kozi hio ikiwa extended wenye shahada na stashahada wanaweza kurudi na nyota zao??Hata astashahada unapata ila utaosotea uje uipate tofauti na Shahada na Stashahada hawa nao wanavuta kidogo
Hili tangazo la kitapeli magereza hawaajiri wazanzibar
Mkuu mtu kama aliwah feli kwenye vipimo vya macho vp akijarbu tena ataweza pata?Bogi la proffesionals hizi....za ndani kabisa course yao inaweza kuwa extended wakatoka na vyeo kabisa.
Hata mimi nimejiuliza sana maana magereza sio Idara ya Muungano, Japo Maafisa wao wamekuwa wakisoma hapo UKONGA mara nyingi tu, ila hili Tamgazo lipo hadi Website ya JeshiHili tangazo la kitapeli magereza hawaajiri wazanzibar
Duuuh!!! Anyway.. Ngoja tuoneHili tangazo la kitapeli magereza hawaajiri wazanzibar
Ila sio Idara ya Muungano mkuuKule Zanzibar magereza wanaitwa mafunzo
Naona Shahada tu ila Stashada sina uhakika mkuuU mean kama kozi hio ikiwa extended wenye shahada na stashahada wanaweza kurudi na nyota zao??
Nmeona kaka me sina fani ainishwaLiving Pablo hujaziona hizo nafasi za MT?
Jiripue kaka mbona watu wanaomb hivo hivo na wanatoboa ila ndo uwe na refereeNmeona kaka me sina fani ainishwa
Kaka acha matani mimi nimesoma kada ya ualimu sayansi ila huwa naapply afisa mahusiano makampuni ya madini 😀😀Nmeona kaka me sina fani ainishwa
Hakuna noma ngoja nijaribu zariJiripue kaka mbona watu wanaomb hivo hivo na wanatoboa ila ndo uwe na referee
[emoji2][emoji2]afisa mahusiano kwel kaka unajitunguaKaka acha matani mimi nimesoma kada ya ualimu sayansi ila huwa naapply afisa mahusiano makampuni ya madini [emoji3][emoji3]
Na huwa naitwa hadi interview nimeenda Geita mara mbili sasa
Si mchezo Kampuni ya madini salary yao unanunua kiwanja kila mwezi 😀[emoji2][emoji2]afisa mahusiano kwel kaka unajitungua
Kama ni Mwalimu tena Sayansi Omba, magereza wana Shule ya Sekondari kwa O'level na A' levelKaka acha matani mimi nimesoma kada ya ualimu sayansi ila huwa naapply afisa mahusiano makampuni ya madini [emoji3][emoji3]
Na huwa naitwa hadi interview nimeenda Geita mara mbili sasa