Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Ebana ehh!!! Hivi kuna hata mwana mmoja ambae amefanikiwa kupata UT humu!!! Tuanzie hapa kwanza[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nafasi ziliuzwa kwa hela tena milioni 3 huko,me nilipata connection ya mkuu wa kikosi cha mafunzo kichaka miba lkn nikaambiwa nitoe hizo hela,maskini ya mungu nikaenda mbio
 
Hv kuna ukwel wowote waliokuwa msata w baadhi kurudishwa kwa kufoji nida kama 400 hv
 
Ni Karibia magereza yote ya Mkoani yana Health Facilities sijui ya wilayani ila baashi yanayo

Baadhi (Gereza Butimba) unakuta zipo mbili ndani ya Ngome na Nje pia ipo kwa Raia na Familia za Askari
Hivi kwa idara ya mambo ya ndani kupata star [emoji92] si mpaka uwe na degree???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…