Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hata mimi nimejiuliza sana maana magereza sio Idara ya Muungano, Japo Maafisa wao wamekuwa wakisoma hapo UKONGA mara nyingi tu, ila hili Tamgazo lipo hadi Website ya Jeshi
Wizara ya Mambo ya Ndani,taasisi zao zote ni za Muungano !!!

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Msaada wa barua ya moambi magereza kutokana na tangazo tuandike vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…