Astizzle
Senior Member
- Sep 29, 2021
- 103
- 85
SawaInategemea na umbali na njia unayotumia chief
Kama Posta ya kawaida gharama zipo chini kulinganisha na EMS
Nenda pale posta watacalculate na watakuambia bei
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaInategemea na umbali na njia unayotumia chief
Kama Posta ya kawaida gharama zipo chini kulinganisha na EMS
Nenda pale posta watacalculate na watakuambia bei
Usiache kutuma chief nenda pale posta tuma maombi pigaa salaaa punguza uoga ....Sawa
Ila posta siku kama ijumaa sio wanawahi kufunga?Usiache kutuma chief nenda pale posta tuma maombi pigaa salaaa punguza uoga ....
Hawana,nenda hospital utatumia za hospital tuWazee hii medical form naipataje ya hawa jamaa?
Hawana,nenda hospital utatumia za hospital tu
Ukiwa na mtu mzito nyuma yako,unapita bila shidaNarudia tena kama wewe huna taaluma za afya,udereva,ushonaji,wachomeleaji angalau na wanasheria na wahasibu
Magereza usiombee,,
Utakuja kunikumbuka
Mchawi connection unasema wasiombe mara wenzako wana connection kubwa wanapita wanachwa wengine hao ulowatajaNarudia tena kama wewe huna taaluma za afya,udereva,ushonaji,wachomeleaji angalau na wanasheria na wahasibu
Magereza usiombee,,
Utakuja kunikumbuka
Kwa Nini unasema hivo mkuuNarudia tena kama wewe huna taaluma za afya,udereva,ushonaji,wachomeleaji angalau na wanasheria na wahasibu
Magereza usiombee,,
Utakuja kunikumbuka
Kuna jamaa nimekutana nae Posta nilivyoenda kutuma maombi tukafahamiana kidogo akanipa ronja kwamba PT wanakuja mwezi wa 12...Leteni lonja makamanda
Kamanda izi intell ni za uwakika watakuja December?Kuna jamaa nimekutana nae Posta nilivyoenda kutuma maombi tukafahamiana kidogo akanipa ronja kwamba PT wanakuja mwezi wa 12...
Ndio waombe na connection zao,kisha baada ya kutoka kiwira na kupangwa vituoni kwao WATALETA MREJESHO.....Mchawi connection unasema wasiombe mara wenzako wana connection kubwa wanapita wanachwa wengine hao ulowataja
Fani ya Udereva haihitajiki kwa sasa na jeshi la Magereza ndugu. Kwenye tangazo lao la kazi haimo na sidhani fani ambayo haijatajwa mle kwenye barua, kama itapewa kipaumbele chochote.Narudia tena kama wewe huna taaluma za afya,udereva,ushonaji,wachomeleaji angalau na wanasheria na wahasibu
Magereza usiombee,,
Utakuja kunikumbuka
Na yy alikuja kutuma maombi kaka??Kuna jamaa nimekutana nae Posta nilivyoenda kutuma maombi tukafahamiana kidogo akanipa ronja kwamba PT wanakuja mwezi wa 12...
Narudia tena kama wewe huna taaluma za afya,udereva,ushonaji,wachomeleaji angalau na wanasheria na wahasibu
Magereza usiombee,,
Utakuja kunikumbuka