Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Ndio waombe na connection zao,kisha baada ya kutoka kiwira na kupangwa vituoni kwao WATALETA MREJESHO.....

Kila la kheri kwao....!
Hutaniambia nini wewe me nishafanya maombi kibao na saili za majeshi,hata wasiokuwa na vigezo wanaingia chomboni bila shida tembea uyaone mdogo wangu, Bila connection unaweza ukawa na vigezo hadi vya ziada lkn ukatemwa.
 
sawa kaka usije ukatanguliza hela kwanza .
siwez msemea vibay,but kuna ishu alinifanyia ilinilazimu nitoe hela but yy hakunidai na akaniambia kwa polisi hana connectio ananisaidia niende nikapambane mwenyewe bas nkafanikiwa kwenda nikapigwa ndoige
 
Tanzania nchi ya ajabu sana, yaani hamtaki ufanisi katika jeshi mnataka wenye dvsn 4? Au Mnaogopa vyeo vyenu kuyeyuka?
 
Hutaniambia nini wewe me nishafanya maombi kibao na saili za majeshi,hata wasiokuwa na vigezo wanaingia chomboni bila shida tembea uyaone mdogo wangu, Bila connection unaweza ukawa na vigezo hadi vya ziada lkn ukatemwa.
Tumia akili kuelewa nilichokiandika.......usikurupuke.
 
Narudia tena kama wewe huna taaluma za afya,udereva,ushonaji,wachomeleaji angalau na wanasheria na wahasibu

Magereza usiombee,,
Utakuja kunikumbuka

Tuelekeze Mkuu kuna balaa gani?? Ukiomba tofauti na kada hizo?

Ili tujue kama tunaweza kuishi nalo au la! maana mtaani panachoma sio mchezo.
 
Tanzania nchi ya ajabu sana, yaani hamtaki ufanisi katika jeshi mnataka wenye dvsn 4? Au Mnaogopa vyeo vyenu kuyeyuka?
Kwani hizo taaluma za hapo wanazotaka boss ni za division 4...au hao madaktari..engineers...accountants na proffesion zingine nao wamefeli? Ukielewa structure ya majeshi bongo huwez kusema unachosema
 
Hv tiss wanarecruit vp ? Na Kati ya tiss na jwtz wap ndo best kama umepata connection yenye nguvu , uombe ikusaidie uende wap
 
Back
Top Bottom