Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
Hizo ni ronja tu
Kamanda izi intell ni za uwakika watakuja Decembe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamanda izi intell ni za uwakika watakuja Decembe?
Pambana uingie kwanza wewe chiefwanaotamani kutuma maombi ila hawana hiz taaluma natoa ofa kwa watu wa 3 tuu
Hutaniambia nini wewe me nishafanya maombi kibao na saili za majeshi,hata wasiokuwa na vigezo wanaingia chomboni bila shida tembea uyaone mdogo wangu, Bila connection unaweza ukawa na vigezo hadi vya ziada lkn ukatemwa.Ndio waombe na connection zao,kisha baada ya kutoka kiwira na kupangwa vituoni kwao WATALETA MREJESHO.....
Kila la kheri kwao....!
hahahaaa,jamaa hanaga connection ila alinisadia nikaenda usahili wa polisi japo nilikosa wenye connection wakachukuliwaPambana uingie kwanza wewe chief
sawa kaka usije ukatanguliza hela kwanza .hahahaaa,jamaa hanaga connection ila alinisadia nikaenda usahili wa polisi japo nilikosa wenye connection wakachukuliwa
siwez msemea vibay,but kuna ishu alinifanyia ilinilazimu nitoe hela but yy hakunidai na akaniambia kwa polisi hana connectio ananisaidia niende nikapambane mwenyewe bas nkafanikiwa kwenda nikapigwa ndoigesawa kaka usije ukatanguliza hela kwanza .
Tumia akili kuelewa nilichokiandika.......usikurupuke.Hutaniambia nini wewe me nishafanya maombi kibao na saili za majeshi,hata wasiokuwa na vigezo wanaingia chomboni bila shida tembea uyaone mdogo wangu, Bila connection unaweza ukawa na vigezo hadi vya ziada lkn ukatemwa.
Narudia tena kama wewe huna taaluma za afya,udereva,ushonaji,wachomeleaji angalau na wanasheria na wahasibu
Magereza usiombee,,
Utakuja kunikumbuka
Wewe upinde acha ,acha kutumia m@kali0 kuandika pumbaTumia akili kuelewa nilichokiandika.......usikurupuke.
OK sawa.Wewe upinde acha ,acha kutumia m@kali0 kuandika pumba
Kwani hizo taaluma za hapo wanazotaka boss ni za division 4...au hao madaktari..engineers...accountants na proffesion zingine nao wamefeli? Ukielewa structure ya majeshi bongo huwez kusema unachosemaTanzania nchi ya ajabu sana, yaani hamtaki ufanisi katika jeshi mnataka wenye dvsn 4? Au Mnaogopa vyeo vyenu kuyeyuka?
[emoji390]Wakuu lonja za jeiwiiii zikoje?
Mwendo wa kupigiwa simu sio?[emoji390]