Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Narudia tena kama wewe huna taaluma za afya,udereva,ushonaji,wachomeleaji angalau na wanasheria na wahasibu

Magereza usiombee,,
Utakuja kunikumbuka
 
Narudia tena kama wewe huna taaluma za afya,udereva,ushonaji,wachomeleaji angalau na wanasheria na wahasibu

Magereza usiombee,,
Utakuja kunikumbuka
Ukiwa na mtu mzito nyuma yako,unapita bila shida
 
Narudia tena kama wewe huna taaluma za afya,udereva,ushonaji,wachomeleaji angalau na wanasheria na wahasibu

Magereza usiombee,,
Utakuja kunikumbuka
Mchawi connection unasema wasiombe mara wenzako wana connection kubwa wanapita wanachwa wengine hao ulowataja
 
Mchawi connection unasema wasiombe mara wenzako wana connection kubwa wanapita wanachwa wengine hao ulowataja
Ndio waombe na connection zao,kisha baada ya kutoka kiwira na kupangwa vituoni kwao WATALETA MREJESHO.....

Kila la kheri kwao....!
 
Narudia tena kama wewe huna taaluma za afya,udereva,ushonaji,wachomeleaji angalau na wanasheria na wahasibu

Magereza usiombee,,
Utakuja kunikumbuka
Fani ya Udereva haihitajiki kwa sasa na jeshi la Magereza ndugu. Kwenye tangazo lao la kazi haimo na sidhani fani ambayo haijatajwa mle kwenye barua, kama itapewa kipaumbele chochote.
 
Connection >>>>>>>>>kipaombele cha fani. Kwan hamjaona PT second leseni. Hata mtu hujaenda jkt ila unataka MT na unamtu wa kueleweka omba nafasi. Maombi ya makao makuu kama huna connection ni wastage of time. Kila siku humu huwa mnaongea.
 
Watu mnaForce kuingia chomboni...wakati kuna watu Wazazi wao ndo wanaWaforce kuingia chomboni...wengine hadi huwa wanashangaa wamepigiwa tu simu...Kumbe Wazazi washafanya Mambo...Anyways Never GiveUp.
 
wanaotamani kutuma maombi ila hawana hiz taaluma natoa ofa kwa watu wa 3 tuu
Narudia tena kama wewe huna taaluma za afya,udereva,ushonaji,wachomeleaji angalau na wanasheria na wahasibu

Magereza usiombee,,
Utakuja kunikumbuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…