Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Jamani kama kuna mtu mwenye uwezo wakunisaidia niingie chomboni! Naomba anipe support! Najikuta nashindwa kufanya kazi nyingine yani nimechanganyikiwa na haya majeshi! Vyeti ninavyo pia umri unaruhusu! Elimu ni degree
We mbona ni mzima kabisa hujachanganyikiwa bado mkuu
 
Sawa rafiki ushauri mzuri sana,ila vipi huyo mbanga wako analonja gani kuhusu UT adi sasa na vipi magereza uliomba
MT sipakubali sna,japo nasikia saizi nao mambo fresh kwa ma afsa kifupi sijaomba, kuhusu mbanga aiseeh sijaistua tena ,saiz niko napambania PSRS
 
Wajuba wakizama chomboni hawarudigi Kabisa humu,kuna jamaa anaitwa Dean humu alizamia MT lkn humu aingii niliona uzi wake mmoja anatafuta mke [emoji16][emoji16][emoji16]
ujobless ni zaidi ya hell mkuu,watu wakipata kazi humu wanapita kwa kuchungulia tu ,akili yao inahamia kwenye ku clear bills and investment planning
 
Wajuba wakizama chomboni hawarudigi Kabisa humu,kuna jamaa anaitwa Dean humu alizamia MT lkn humu aingii niliona uzi wake mmoja anatafuta mke [emoji16][emoji16][emoji16]
Anatafuta mke [emoji1787]
 
Hivi polisi wameshaanza mafunzo wakuu??
Kozi bado haijaanza. Wa Nasubiriwa Makoplo wamalize kozi yao then waanze. Nadhani inaweza kuwa mwanzoni mwa mwezi wa 6.

NB: wale walioenda intake ya kwanza walifanyiwa vipimo, 200+ wakawa unfit wakarudishwa. Ikabidi waongeze vijana wengine intake ya pili ambao waliingia kama vijana 1000 hivi
 
Hiyo ya kuingia 1000 kama ni kweli hawa jamaa ni nouma aise... πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½
Second selection walitoa majina kama 400 hivi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Dahhh hivi ndio kuna dalil ya kuja intake nyengin huko??
 
Hakutakuwa na intake nyingine mwaka huu. Hawa wakianza mwezi wa sita watamaliza Juni 2024. Maybe intake nyingine inaweza kuwa mwishoni mwa 2024.
Pale CCP niliskia wanaeza chukus intake mbili kwa wakat mmja...ama sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…