Lamentations
JF-Expert Member
- Mar 12, 2023
- 285
- 848
We mbona ni mzima kabisa hujachanganyikiwa bado mkuuJamani kama kuna mtu mwenye uwezo wakunisaidia niingie chomboni! Naomba anipe support! Najikuta nashindwa kufanya kazi nyingine yani nimechanganyikiwa na haya majeshi! Vyeti ninavyo pia umri unaruhusu! Elimu ni degree