Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Sahivi humu zile ID za ronja zimepungua wale makamanda was kutoa ronja hawapo wengi tofauti na hapo awali
 
Mwamba Zafrain sag alikua anashusha sana lonja za mtipidii.

Ila sasahivi yupo kimya,huenda kazama.
Dogo yuko jakata anasema baadhi ya makambi tangazo lime bandikwa nao kwao soon wanakuja
 
WANAMALIZIA UKAGUZI WA SEHEMU ZA MAZOEZI KWENYE KAMBI HUSIKA, KISHA SOON MAMBO ITAKUWA NI FUJO HAPO MTIPIDIIEFUUU
 
TPDF kikwazo ilikuwa ni bajeti (hela ilitoka ila kufika sehemu husika ikawa tabu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…