Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mi napenda niwe mwalimu wa jeshi.Michongo inakuaje?
 
Kuanzia wiki ijayo upembuzi yakinifu utafanyika (vigezo ni JKT na kada zilizoainishwa kwenye tangazo) then vijana wataanza kupigiwa simu kwaajili ya kufanyiwa usahili.
Vigezo ni jkt?? Hahah!! Wakati watu wanaingia huko kila siku bila hata kupitia jkt!!! Na wapo wataoingia hata ambao fani zao hazikutajwa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana nimekutana na baka baka mitaa ya kigamboni, zipo mabio, jua kali la saa sita..

Aisee , walikuwa wametweta, na wamachafuka full combat,

Nilitaman nijiunge nao, Kwa moral.

Nahisi wapo kozi
Wale wapo Course ya Ukoplo Nina jamaa zangu wanakipiga
 
Kozi ya jeshi inafanyika mjini kwenye lami na maghorofa ? Duuuuh
Hizo course za kuongeza vyeo ni kawaida tu, wana chuo chao kingine kule Bahari Beach NDC (National Defence College) katikati kabisa ya makazi na biashara za watu, mara nyingi course za awali zile za kutafuta ajira au kutafuta nyota ya kwanza ndio hupigwa maporini huko
 
NDC sio lazima uwe Jwtz...cuz kule wanatoa masters in security n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…