Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Maelezo mengi lkn umeandika pumba huna ujualo zaidi ya roho mbaya na ubaguzi huu Uzi tunapeana lonja kuhusu mustakabali unavyoenda lkn wewe na roho yko mbaya unaleta mdahalo wa ubishani nenda vijiweni ukabishane humu siyo mahala pako .mkuu
Hahahahahahaha hahahahah nimekubali
 
Mbona kumepoaa Sana,Wazee wa Lonja Mko wapi,Tuvute kasi huku tukisubiri PDF
 
Kuna mtu , hajawai kuitwa kwenye usahili wowote, hana mbanga heavy, ametuma maombi mkoani, jina halijatoka, bado anawaza kupata nafasi, nyie nyie, lonja hazina mchongo tena now, ule moto umekata
 
Kuna mtu , hajawai kuitwa kwenye usahili wowote, hana mbanga heavy, ametuma maombi mkoani, jina halijatoka, bado anawaza kupata nafasi, nyie nyie, lonja hazina mchongo tena now, ule moto umekata
Mmmmmmmmhhhhh,kwamba unahisi watu wa aina hiyo wapo humu ndani?
 
Hakuna usahili ulio fanyika zaidi ya ule wa dsm, madaktar
Siyo kweli Kuna mikoa mambo ya usaili yamekwisha hadi oral interview wamemaliza watu wanasikilizia majina yao tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…