Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Unaambiwa kama unaona wewe umekata tamaa usikatishe wenzio tamaa .post zako nyingi ni kukatisha watu tamaa humu ndani nimekusoma muda tu .huyo ibilisi yupo kwako usiforce kumleta kwa watu wengine cha ajabu usikute wewe haujawahi hata kutuma maombi na usikute una maisha yako fresh unaona uwakatishe tamaa vijana .maisha haya hakuna mjuaji zaidi ya mungu hata mungu afurahishwi na wanao katisha wenzao tamaa kwenye mambo ya maana na rizik kama haya .kumkatishana tamaa ni tabia za kishetani ..take your own responsibilities
Acha kujifariji wewe, sasa kuna watu, hawajaitwa kwenye usahili wowote, barua wameandika ovyo, hawaja ambatanisha barua za utambulisho,sifaless, hana mtu wa kusema toa huyu weka huyu hana, bado anawaza kuwa selected, [emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28] swala la TPDF ni kwamba watachukuliwa walio kuwa kwenye fataki mbali mbali , kama ikulu chamwino, walio kuwa deti chato, na wengine wengi,
 
Siyo kila atayekwenda CCP ni connection .hizi blah blaah zipo zitaendelea kuwepo atukatai washikwa mkono hawapo wapo wengi ila wamtegemeao mungu pia wapo tena wengi Sana .
Lazima tufike mahala tuseme ukweli, wizara ya mambo ya ndani imesema imetoa ajira 1000, na hao 1000 tayari waliitwa kwenye usahili dar, tena walikuwa buku na 400.
 
Acha kujifariji wewe, sasa kuna watu, hawajaitwa kwenye usahili wowote, barua wameandika ovyo, hawaja ambatanisha barua za utambulisho,sifaless, hana mtu wa kusema toa huyu weka huyu hana, bado anawaza kuwa selected, [emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28] swala la TPDF ni kwamba watachukuliwa walio kuwa kwenye fataki mbali mbali , kama ikulu chamwino, walio kuwa deti chato, na wengine wengi,
Ukweli ndo huo.. TPDF kugumu jamani.. kama huku PT, UT, MT na ZT kumekupa changamoto mhh.. kazi unayo huko..
 
Maaana swala ni zito huko makao makuu
Hatari sana kaka
Lazima tufike mahala tuseme ukweli, wizara ya mambo ya ndani imesema imetoa ajira 1000, na hao 1000 tayari waliitwa kwenye usahili dar, tena walikuwa buku na 400.
Kaka walioitwa dar kwa upande wa polisi ni wale wenye fani tu, ambao kwa idad ya polisi hawafiki hata 300 wanaohitajika ingawa interview ilifanyika kwa watu zaidi ya 1400+...level ya form 4 na 6 zinafanyika mikoan
 
Acha kujifariji wewe, sasa kuna watu, hawajaitwa kwenye usahili wowote, barua wameandika ovyo, hawaja ambatanisha barua za utambulisho,sifaless, hana mtu wa kusema toa huyu weka huyu hana, bado anawaza kuwa selected, [emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28] swala la TPDF ni kwamba watachukuliwa walio kuwa kwenye fataki mbali mbali , kama ikulu chamwino, walio kuwa deti chato, na wengine wengi,
Huna ujualo umeandika pumba wewe kumbe ni bonge la kilaza ..[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Lazima tufike mahala tuseme ukweli, wizara ya mambo ya ndani imesema imetoa ajira 1000, na hao 1000 tayari waliitwa kwenye usahili dar, tena walikuwa buku na 400.
Huna unachojua kaa kimya ujajitutumua Sana mwisho wa siku bado kichwani mwako Ni mweupe kma karatasi ya reem
 
Hatari sana kaka
Kaka walioitwa dar kwa upande wa polisi ni wale wenye fani tu, ambao kwa idad ya polisi hawafiki hata 300 wanaohitajika ingawa interview ilifanyika kwa watu zaidi ya 1400+...level ya form 4 na 6 zinafanyika mikoan
Usijisumbue kumuelekeza huyo jamaa kichwani ni mweupe peee mihemko inasumbua
 
Hatari sana kaka
Kaka walioitwa dar kwa upande wa polisi ni wale wenye fani tu, ambao kwa idad ya polisi hawafiki hata 300 wanaohitajika ingawa interview ilifanyika kwa watu zaidi ya 1400+...level ya form 4 na 6 zinafanyika mikoan
Utaniambia , hizi nafasi ni chache sana , technical, kupenya ni zero is equal to zero
 
Sasa Mbona wanaajiri vilaza waliopiga zero? Sasa Forensic na Cyber Investigation watu waliopata Sifuri watayaweza kweli?
 
Mkuu kichwa chako kigumu sana..hizo nafasi za cyber na forensic wanaajiri watu wenye fani husika..kuna MDs, kuna lab personells, kuna ITs na kada zingine ...watu wenye fani zao tayari...sisi tulikuwepo kwenye usaili .Form 4 na form 6 ni mikoani huko.Dar es salaam ilikuw watu wenye degree, diploma na Certificate
 
Sure
 
Utaniambia , hizi nafasi ni chache sana , technical, kupenya ni zero is equal to zero
Sasa Mbona wanaajiri vilaza waliopiga zero? Sasa Forensic na Cyber Investigation watu waliopata Sifuri watayaweza kweli?
Yani wewe pia ni kilaza kwa kushindwa kutambua hao unaowaita vilaza watapewa majukumu yapi
Nadhani umefeli interview ndo mana una bwabwaja
 
Back
Top Bottom