Roho inakuuma vijana tukijiangaikia kwenye mambo ya msingi me nikipata nitamshukuru Sana mungu nikikosa sita lalamika pia ni mipango ya mungu rizik itakuja hata kwa upande mwengine sasa imagine haunijui hatujuani lkn umekunja na husda imekujaa kma ww siyo mchawi bahati ..vijana tunatafuta hatutochoka kutafuta tukikosa hapa tutapata kwengine mungu ndiyo mtoa rizk ila usitupangie tukate tamaa kama huna vigezo hujawahi hata jaribu kaa kimya huna ujualo ndugu ww ni mweupe Kabisa [emoji847][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]