Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Usaili wa kwenda monduli anafanya mtu aliye ajiriwa kabisa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sahihi. Ukiachana na wanajeshi waajiriwa wanaoenda Monduli kufanya kozi ya Uafsa jeshini. Kuna wale wanaofanya kozi fupi then wanaenda monduli moja kwa moja mfano Proffesionals (kama Madaktari na Engineers waliopo Monduli hivi sasa).
 
Ni kweli upo sahihi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Basi leteni lonja za uhamiaji watakuja lini tena jamani tutupe ndoano
 
Vijana pambaneni muingie chomboni mwaka huu hizi Ajira za majeshi haziwezi kurudi kila mwaka serikali Ina sehem nyingi zinazohitaji watumishi sio majeshi tu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ndio mfano hata saiv kuna ma daktari na ma injinia wanapiga kozi msata wengi mujibu nadhani hao wakimaliza watapelekwa monduli

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hao waliopo msata ni wenye diploma. Wenye degree wapo Monduli wanapiga kozi ya cadet.. kiujumla walikusanywa wote mwaka jana, wakaapa pale Makutupora. Wenye degree wakenda cadet (baada ya kufanya kozi fupi ya awali) then hao wa diploma wakaenda Msata. So watakapoajiriwa jeshini watafuata utaratibu wa kawaida kwenda Monduli kama watakua na sifa..
 
Ok sawa nmekupata

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Vijana pambaneni muingie chomboni mwaka huu hizi Ajira za majeshi haziwezi kurudi kila mwaka serikali Ina sehem nyingi zinazohitaji watumishi sio majeshi tu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hio ni lonja ama mbona unatukatisha Tamaa mkuu mbona nasikia zinakuja tena mwakani polisi uhamiaj hata enzi za kikwete zilikua hivo kwa mkupuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…