Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Duuuuh ulishabarikiwa kuingia jeshini tena ukapata na nafasi ukawa TMA badae urudishwe kitaa kusota tena ? Noma sana
Hiyo kitu haipo...kozi ya Tma ni kozi cheo ukizingua unarud kikosini tu kama kawa...unless ufanye kosa la kufukuzwa kazi
 
NIMEPATA ZA CHINI YA MAJI, KOZI YA MTIPIDIII RTS ITAPIGWA KWA KINA BRAZA K NA SIO KWA KINA JANJAROO TENA.
 
Okay,Nimepata taarifa sahihi sasa iko hiv usaili unaofanyika tarehe 24 may vikosini sio wa monduli point of correction.
Usaili huu vijana watakaopatikana vikosini watakombainiwa na wale watakaochukuliwa wa mtaani nafasi zile zilizotangazwa wale wakujitolea 2yrs.Kuanzia June 1 wataanza kuitwa kwa message kwenda kwenye usaili (Wale waliopo mtaani wakujitolea).By Tarehe 1August kozi itaanza Rasmi katika kambi iliyochaguliwa kwa mafunzo,Naomba kuwasilisha.
Vipi kiongozi tupe ronja
 
SASA HIVI NILIVYOAMBIWA NI MITATU KUTOKANA NA SABABU ZILIZO NJE YA UWEZO. (UHABA WA ....)
 
mitatu ilikuwa kipindi cha magufuli ila kuanzia int ya 40 ni miez 6 + miez 4 lv 3 =jumla 10 hadi kuja kuitwa private wa jeshi. ukimaluza rts tuu unakuw TS yaani training soldier
 
yaah,kama wale walioanza kozi oljoro mwenzi wa 4 2022 ndio wamemaliza mwezi wa 4 mwaka huu level 3 sahizi ni maprivate kamili
Duuh

Mimi ninachojua course ya awali ya RTS ya kuwa Private huwa ni miezi minne ila mwaka jana walipiga miezi sita

Kule Kihangaiko walianza December mwishoni 2021 wakaapa June mwishoni 2022, (hawa mahafali yao nilihudhuria mwenyewe)

Na Oljoro walianza March mwishoni 2022 wakaapa September mwishoni 2022 (hawa mahafali yao niliangalia youtube kwenye channel ya jwtz)

Sasa hiyo ya miezi kumi imekaaje na hao waliomaliza mwaka huu ni wepi naomba ufafanuzi kidogo hapo
 
Vyengine vinaitwa mbelembeleyao
Mda wa kozi utajulikanaga uko uko
Mchawi kuitwa tu...
 
Back
Top Bottom