Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Duuh
Mimi ninachojua course ya awali ya RTS ya kuwa Private huwa ni miezi minne ila mwaka jana walipiga miezi sita
Kule Kihangaiko walianza December mwishoni 2021 wakaapa June mwishoni 2022, (hawa mahafali yao nilihudhuria mwenyewe)
Na Oljoro walianza March mwishoni 2022 wakaapa September mwishoni 2022 (hawa mahafali yao niliangalia youtube kwenye channel ya jwtz)
Sasa hiyo ya miezi kumi imekaaje na hao waliomaliza mwaka huu ni wepi naomba ufafanuzi kidogo hapo
Yeah hata mimi nina jamaazangu mmoja alimaliza Kihangaiko mwezi wa 7 mwezi wa 11au 12 akaunga Monduli mwingine alikuwa Oljoro tarehe 30/09 aliapa baada ya muda kadhaa alipangiwa Kambi moja hivi ipo Dar.