Ukisoma kwenye tovuti rasmi ya jkt moja wapo ya kigezo cha kujiunga na jkt mujibu wa sheria ni "awe na elimu ya kidato cha sita na kuendelea" na nimeona tukimaliza tu necta hua tunapangiwa makambi(form six) sasa hao wenye elimu zaidi ya form six hua wanaingiaje mujibu? Maana kigezo kinaruhusu binafsi nimemaliza bachelor na nina 22 yrs je nikiingia kosi mojawapo nipate mafunzo ya mujibu nakosea? au ndo mpaka nijitolee tena na kujitolea siku izi ukiwa na elimu kubwa tu jeshi linapenda tuwepo lakini wanazengo hawataki kukuona hata kwenye usaili mnisaidie ndugu zangu nimeona niulize muda muafaka nisijekuta nina chance nikaipoteza