Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

mnaongea sawa ila sifa ya mwanajeshi ni kufuata maelekezo....
Basi kama ni maelekezo kwani elimu ya juu haipo kwenye maelekezo? au yalematangazo huwa wanatuhadaa tu watoto wa choka mbaya afu wanatumia maelekezo mapya ya watu walaji watu huwa hawaujui uchungu wa mtu mwenye nia au ndoto na kitu akakikosa kisa ujinga wa mtu mwingine mwenye nguvu kwa muda huo
 
Sio kweli mkuu wanaofanyisha usaili wilayani na Ni kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya husika ambapo humo ndani kuna vyombo vyote vya usalama na sio wajeshi peke yao

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sasa mkuu wa wilaya(ambaye pia ni ccm)akisema hatutaki degree humu ndani wala wenye div one wewe afande unajueri gani kati umeshaambiwa huyu ndio boss wa ulinzi na usalama wa eneo hilo? Hii sumu tulioinda kwa siasa ikiisha ingia mahali popote haki haitoboi
 
Mbona hii walitangaza kabisa hadharani kipindi kile cha wale waliogoma kurudishwa mtaani baada ya apo walitangaza kabisa hadharani kuwa wanahitajika form4 kushuka chini ndo wataingia JKT kujitolea na wala sio kama unavyosema sijui ngazi ya wilaya.

Alafu kingine jeshi halichukuichukui tu ovyo wanautaratibu wao ndo maana kuna kipindi walihitajika Maengeneer na Madoctor wakapige kozi RTS na pia uko jeshini nowday wenye elimu ni wengi sana na bado wale Form6 wanaochukiliwa kwenda kusomeshwa nje mfano sahv kuna vijana wapo Poland.
Uliwanukuu vibaya mkuu wao waliwarudisha vijana wote walioingia wakati huo kisha wakasema la saba na form four warejee makambini wengine wasubiri utaratibu mwingine it means waliwatema lakin hawahusema kua intake nyingine zinazofuata tofauti na hio ya wakati huo watu hawataingia tena au watakua wanachukua form four ilikua ni suala la emergence ila sio kua ndo mfumo mapya kila ngazi ya elimu inamsaada wake jeshini na mimi sizungumzii kua jeshi ndilo linakosea ila baadhi ya watu maelekezo huwa yamenyooka kabisa kua ili mtupite inatakiwa iweje na jeshi linasubili kupokea vijana baada ya usaili japo linakua na waaakilishi wakati wa usaili ila kuna hawa wachache ninaolia nao mimi hawa wanaotufukuzaga kwenye usaili tena anakwambia kabisa kwamba sababu ni elimu sasa anaamua kumweka mtoto wa hawala yake ambaye wametoka nae kijiji kimoja
 
Mbona hii walitangaza kabisa hadharani kipindi kile cha wale waliogoma kurudishwa mtaani baada ya apo walitangaza kabisa hadharani kuwa wanahitajika form4 kushuka chini ndo wataingia JKT kujitolea na wala sio kama unavyosema sijui ngazi ya wilaya.

Alafu kingine jeshi halichukuichukui tu ovyo wanautaratibu wao ndo maana kuna kipindi walihitajika Maengeneer na Madoctor wakapige kozi RTS na pia uko jeshini nowday wenye elimu ni wengi sana na bado wale Form6 wanaochukiliwa kwenda kusomeshwa nje mfano sahv kuna vijana wapo Poland.
Mimi hapa nazungumzia jkt ya kujitolea kwani hawa huwa wanapelekwa poland?
 
Mbona hii walitangaza kabisa hadharani kipindi kile cha wale waliogoma kurudishwa mtaani baada ya apo walitangaza kabisa hadharani kuwa wanahitajika form4 kushuka chini ndo wataingia JKT kujitolea na wala sio kama unavyosema sijui ngazi ya wilaya.

Alafu kingine jeshi halichukuichukui tu ovyo wanautaratibu wao ndo maana kuna kipindi walihitajika Maengeneer na Madoctor wakapige kozi RTS na pia uko jeshini nowday wenye elimu ni wengi sana na bado wale Form6 wanaochukiliwa kwenda kusomeshwa nje mfano sahv kuna vijana wapo Poland.
Na hao wenye elimu unaodai wamejaa jeshini kwani kuna shida gani jeshi letu likipata wasomi au tumezoea kua askari mzuri ni aliyechemka mtihani au unahurumia pesa watakazo lipwa vijana wetu wazalendo zitakua kubwa unahisi zitazidi wanazochukua mafisadi? We kuna siku utanielewa tu mkuu siku siku ukiona tangazo la hizo nafasi za maengeer unazosema watataja vigezo vya kawaida sana apply uone kama hawajaingia vikongwe wenye vitambi wakaacha vijana wasio na connection "mtu mweusi ni mbaya sana na hafai kujiongoza tutafute mkoloni atuongoze"
 
Maneno mengi sana ...hii thread ilikuwa ni PT .kilibaki ni mtu kutoa lonja ya sehm zingine au kama kuna issue ya muhim fresh
 
Na hao wenye elimu unaodai wamejaa jeshini kwani kuna shida gani jeshi letu likipata wasomi au tumezoea kua askari mzuri ni aliyechemka mtihani au unahurumia pesa watakazo lipwa vijana wetu wazalendo zitakua kubwa unahisi zitazidi wanazochukua mafisadi? We kuna siku utanielewa tu mkuu siku siku ukiona tangazo la hizo nafasi za maengeer unazosema watataja vigezo vya kawaida sana apply uone kama hawajaingia vikongwe wenye vitambi wakaacha vijana wasio na connection "mtu mweusi ni mbaya sana na hafai kujiongoza tutafute mkoloni atuongoze"

Umeongea sana apo ungehitimisha tu kuwa Connection ndo msingi wa kuingia na sio Tz tu ni karibia nchi nyingi Africa ukitoa zenye machafuko.

Suala la Elimu jeshin wanaangalia sana hawawezi tu kujaza form4(Askari) kushuka chini au form6(Afisa) kwenda juu maana apo ni makundi mawili maaskari na maafisa sasa wajaze Askari tu wakati maafsa wanakaribia kustaafu nani atakuwa kiongozi baadae au waweke tu maafisa je askari wa kufanya shughuli mbalimbali ndogondogo jeshini watapatikanaje,

Unachotakiwa kuelewa ni kuwa kuna muda hitaji lao linakuwa la level fulani ya elimu aidha waproduce maafsa au askari.
 
Hivi natakiwa nifanye nini ili nisiuone huu uzi aisee kila nikiuona naumia sana....
 
Huu uzi me mdau wake sana tangu unaanza mwaka 2021 ile mama samia kaingia madarakani zikaanza kumwagwa ajira za majeshi sio magereza,uhamiaji,polisi,jwtz,zimamoto na PCCB nimeomba zote chenga so sitaki tena kuuna huu uzi.
Upo sahh mkuu pole, mm sio mdau wa jeshi ,ila niliwah omba magereza ,nilipata ila disorder flan iliniondoa 2021 kozin
 
Back
Top Bottom