Sahihi. Ukiachana na wanajeshi waajiriwa wanaoenda Monduli kufanya kozi ya Uafsa jeshini. Kuna wale wanaofanya kozi fupi then wanaenda monduli moja kwa moja mfano Proffesionals (kama Madaktari na Engineers waliopo Monduli hivi sasa).Usaili wa kwenda monduli anafanya mtu aliye ajiriwa kabisa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app