Kuna muda mwengine ñi rizki tu ya mtu,bila connectionYeye angeomba tu,vitu vingine havihitaji connection,mdogo wangu yupo CCP bila hata connection.
@mfwende sawadogo bonge la lonja hilo Kaka [emoji39]Ajira hizo wizara ya mambo ya ndani mwaka 2023/2024 andaa connection View attachment 2639748
HiyoView attachment wizara ya mambo ya ndani.pdfSamahani kiongozi naomba uitume pdf full
Mkuu,Yeye angeomba tu,vitu vingine havihitaji connection,mdogo wangu yupo CCP bila hata connection.
AMekukwepa tu huyo...Wakuu kuna mbanga niliupata ukataka kuniingiza chomboni, ila akaniambia tatizo umri, hivi wakuu naweza chekecha NIDA nipunguze umri??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwelewe muda wakuu huwekeana ukutaAliniambia ameshindwa kunisadia kwasababu ya kigezi cha umri, nayeye ni Brigedier kabisa!!! Kuna muda nahsi hakutaka kunisaidia labda!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah!! Huenda hakupata nafasi.Mwelewe muda wakuu huwekeana ukuta
Kushikana mikono ni jambo jema sana 🙏🏾Tupeane connection wakubwa ambao mnatuona tukipambana miaka nenda unaweza nifuata DM ukanipush ki namna fulani.kutunza Siri muhimu Sana
mkuu mm nipoomfwende sawadogo upo wapi
Anza kumtafuta mbanga kaka,idarani wanakuja tena kakamkuu mm nipoo
Umeona lonja apo juu,idarani pia watakuja tenamkuu mm nipoo
Asante Kwa lonjaLonja......
Kwa MT makao makuu Mchakato unaendelea ,Waombaji ni wengi sana hasa wale wasio na fani yeyote
Kama wangapi jumlaLonja......
Kwa MT makao makuu Mchakato unaendelea ,Waombaji ni wengi sana hasa wale wasio na fani yeyote