Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Majeshi ya kipumbavu kabisa , unategemea nini kwa jeshi linalokumbatia mediocrity ?
So sifa sasa hivi ya kujoin jeshi ni kuwa kilaza aka Form four failure au sio ?
ahaa... au huyu anamaanisha kuanzia mwaka huu,,, kigezo ndo kitakua mwisho form 4
 
Hivi hiyo list sio ya mwezi uliopita ? Sababu naona wanaongelea waliokuwa interview
 
Kumbe wewe unapenda Sana dhuluma na rushwa hutapata kamwe
 
Huwezi kusema hivyo chief...
Huna mamlaka ya kugawia watu riziki..
Aliyeziumba mbingu na nchi mwenywe huwanyeeshea mvua wema na wabaya...
Hakuna riziki ya kutenda uovu yeye Kama anafikiria kupata kazi ya kuja kudhulumu watu na kutesa na kupata riziki asiyostahili hafai kuwa Askari narudia tena hafai kabisa
 
WEWE SI MUNGU MTOA RIDHIKI.. ACHA UCHAWI NA CHUKI ZA KIMASKINI
Narudia tena hafai Kama yeye anafikiria kupata kazi kwa ajili ya kuja kudhulumu haki za watu hafai narudia tena hafai na mapenzi ya Mungu yatimizwe asitafute kazi kwa mawazo ya kuja kudhulumu haki za watu kula rushwa hafai
 
Wanasubiri miaka 60 ya jkt ipite wateme watu waende kozi
Hakuna uhusiano mbona kati ya miaka 60 ya JKT na kuita watu kwa ajili ya either mafunzo au masahiliano hakuna uhusiano wowote Kama kweli ajira zilitangazwa kwa vijana kutoka uraiani waliopita JKT walikuwa wanamaanisha kweli na sio siasa wakati uliokusudiwa ukifika wataita hayo mambo ya 60 hayawezi kusimamisha au kuchelewesha Jambo Hilo kwa kuwa hakuna uhusiano wowote.
 
kiukweli ajira za jwtz mpaka sasa walitumia siasa kudanganya watu ajira za mwezz
kiukweli mpaka sasa ajira za jwtz zilitangazwa kisiasa kudanganya watanzani ila hii tabia ya jwtz waliopo ni watu wanajionaje wanatangaza ajira mwisho kimya wakat watoto wa maskin walifunga safari hadi ngome kupeleka barua walitoka mikoa mbalimbali jeshi lilianza kuaribika kuanzia op makao walifanyiwa usahil wa uongo laiti mungu angetokea na kuwaumbua hawa wakuu wanaoleta ajira za siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…