southernboy
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 882
- 1,075
yaan jeshini shuguli moja haiwez kuharib shughur nyingine,ungekua umekaa angalau miaka mi3 kule ungenielewa,JKT si ni moja ya kamandi ya TPDF kwanini waseme visiwe na uhusiano?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaan jeshini shuguli moja haiwez kuharib shughur nyingine,ungekua umekaa angalau miaka mi3 kule ungenielewa,JKT si ni moja ya kamandi ya TPDF kwanini waseme visiwe na uhusiano?
Tunazungumzia kwa situation kusema kozi ya ajira kufanyika ni ngumu mpaka Mujibu wamalize maana Rts Oljoro kuna wanaenda Mujibuyaan jeshini shuguli moja haiwez kuharib shughur nyingine,ungekua umekaa angalau miaka mi3 kule ungenielewa,
SahihiWatu wasichokijua kuwa jkt ni moja ya kamandi za jwtz ambapo kila kitu kinaingiliana tofauti tu ni majukumu.
Ndani ya jeshi la wananchi jwtz kuna kamandi tano ambapo ndio muundo wa jeshi
1.kamandi chini ya makao makuu ya jeshi MMJ
2.Kamandi ya jeshi la wanamaji navy force
3.Kamandi ya jeshi la ardhini Land force
4.Kamandi ya jeshi la anga airforce
5.kamandi ya jeshi la kujenga taifa jkt
koz ya ajira na mujib havihusiani hata kidogoTunazungumzia kwa situation kusema kozi ya ajira kufanyika ni ngumu mpaka Mujibu wamalize maana Rts Oljoro kuna wanaenda Mujibu
Sawa kwahyo Mujibu 1000+ wanaweza kupiga kozi kambi moja na PTE 1000+ wote kwenye kambi moja???koz ya ajira na mujib havihusiani hata kidogo
hahah duuh,oljoro int ya 41 kulikuwa na RTS 2500 + mujibu 2000+ pamoja na wakujitolea wazarendo zaidi ya 800,Sawa kwahyo Mujibu 1000+ wanaweza kupiga kozi kambi moja na PTE 1000+ wote kwenye kambi moja???
Hiyo inawezekana mkuu kupiga course zaidi ya moja kwa wakati mmoja kwenye kambi moja, maana zile kambi ni kubwa na kila bogi linakuwa na wakufunzi wake hivyo hamuingiliani, nakumbuka wakati niko mujibu kuna bogi la madoctor waliotakiwa kwenda monduli course yao ya kuanzia tulipiga nao paleTunazungumzia kwa situation kusema kozi ya ajira kufanyika ni ngumu mpaka Mujibu wamalize maana Rts Oljoro kuna wanaenda Mujibu
Poahahah duuh,oljoro int ya 41 kulikuwa na RTS 2500 + mujibu 2000+ pamoja na wakujitolea wazarendo zaidi ya 800,
Okay sikuwahi kusikia icho kituHiyo inawezekana mkuu kupiga course zaidi ya moja kwa wakati mmoja kwenye kambi moja, maana zile kambi ni kubwa na kila bogi linakuwa na wakufunzi wake hivyo hamuingiliani, nakumbuka wakati niko mujibu kuna bogi la madoctor waliotakiwa kwenda monduli course yao ya kuanzia tulipiga nao pale
Tulikuwa tunaonana na kupishana nao karibu kila siku na siku wanafungua course tuliwaona wanavyopigwa intro, walitoka kikosini saa kumi na mbili asubuhi na combat safi kabisa wakarudi saa nne asubuhi wamechafuka matope hawatamaniki, huku wengine wanatembea kama viwete
Sisi tukienda kulala tunawaona hao wanabeba magogo wanaondoka, hadi wanamaliza six weeks za mkesha tulikuwa pale, sema sisi tulitangulia kuondoka tukawaacha maana walitukuta
Mkuu kambi gani hii ilikua?Hiyo inawezekana mkuu kupiga course zaidi ya moja kwa wakati mmoja kwenye kambi moja, maana zile kambi ni kubwa na kila bogi linakuwa na wakufunzi wake hivyo hamuingiliani, nakumbuka wakati niko mujibu kuna bogi la madoctor waliotakiwa kwenda monduli course yao ya kuanzia tulipiga nao pale
Tulikuwa tunaonana na kupishana nao karibu kila siku na siku wanafungua course tuliwaona wanavyopigwa intro, walitoka kikosini saa kumi na mbili asubuhi na combat safi kabisa wakarudi saa nne asubuhi wamechafuka matope hawatamaniki, huku wengine wanatembea kama viwete
Sisi tukienda kulala tunawaona hao wanabeba magogo wanaondoka, hadi wanamaliza six weeks za mkesha tulikuwa pale, sema sisi tulitangulia kuondoka tukawaacha maana walitukuta
847KJ[emoji16]Mkuu kambi gani hii ilikua?
Milundikwa moja..!!847KJ[emoji16]
Bila shaka ulipiga ruvu jkt op MAGUFULI 2016Hiyo inawezekana mkuu kupiga course zaidi ya moja kwa wakati mmoja kwenye kambi moja, maana zile kambi ni kubwa na kila bogi linakuwa na wakufunzi wake hivyo hamuingiliani, nakumbuka wakati niko mujibu kuna bogi la madoctor waliotakiwa kwenda monduli course yao ya kuanzia tulipiga nao pale
Tulikuwa tunaonana na kupishana nao karibu kila siku na siku wanafungua course tuliwaona wanavyopigwa intro, walitoka kikosini saa kumi na mbili asubuhi na combat safi kabisa wakarudi saa nne asubuhi wamechafuka matope hawatamaniki, huku wengine wanatembea kama viwete
Sisi tukienda kulala tunawaona hao wanabeba magogo wanaondoka, hadi wanamaliza six weeks za mkesha tulikuwa pale, sema sisi tulitangulia kuondoka tukawaacha maana walitukuta
Hahaha nazingua tu Mkuu nilikuwa pale 832KJ[emoji4]Milundikwa moja..!!
Duuh umejuaje mkuuBila shaka ulipiga ruvu jkt op MAGUFULI 2016