Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Ngoja tusikilizie tuone MT kama watabless watu wenye degree. Japo hata mm nikifikiria Sion Umuhim wa Degree Kwa MT
Walioomba MT kupitia shahada ya famasi wasibirie mambo mazuri,,,,na ukipata nenda ukale maisha..
 
Ngoja tusikilizie tuone MT kama watabless watu wenye degree. Japo hata mm nikifikiria Sion Umuhim wa Degree Kwa MT
Kwanini degree isiwe na umuhimu kaka

Magereza wanamiliki mpaka hospital

Vipi kuhusu mfumo ya utawala?

Mambo ya finance?

Bado sijagusia kitengo cha miradi watu wa planning wapo kule

Magereza sio tu kulinda kufungwa.
 
Hao MT wanachkua watu kulingana na mahitaji yao ..mwaka 2021/2022 walichkua shahada kwa idadi inayo ridhisha karibu kila idara waligusa ..lakini kwa tangazo hili la sasa inaonekana kabisa hao watu wa shashada Watachkuliwa wachache kulingana na mahitaji ya tangazo lao ...so hapo ni kusubiri tuone mwisho wake ni upi
 
Ngoja tusikilizie tuone MT kama watabless watu wenye degree. Japo hata mm nikifikiria Sion Umuhim wa Degree Kwa MT

Umuhimu upo sana, kwa MT degree zinazombamba kwa degree ni MD, medical lab, pharmacist, forestry na agriculture hizo Zingne zipo ila sio kivile maana magereza mengi kuna hospital so wanahitaji watu wa afya, pia wanahitaji watu wa agriculture kwa sababu wana bustani na mashamba, wanataka watu wa forestry kwa sababu wana mashamba ya misitu na hii ipo karibia kwa kila gereza fani zingne zipo ila sio kivile ila kwa MT hizo ni fani kwa muhimu sana na zinahitajika mno kwa degree
 
We kaka emb kaa kwa kutulia [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] kama hujui nyamaza
We ndo hujui braza na kama hujui mi nna taaluma ya hiyo kitu niliyouliza...kuna tofaut kati ya kituo cha afya na hospital... kutokana na ngazi za matibabu inaanza zahanati-kitup cha afya-hospital ya wilaya -then rufaa.. swali langu nimeuuliza MT wana kituo cha Afya au nga Hospital ? Kutokana na ngazi za matibabu... mfano mi niko kibaha kuna gereza za kibaha huku na wana zahanati ila kuna matibabu baadhi ya wafungwa huwa wanaletwa hospital ya wilaya.
 
& speaking of degree. Kuna taaluma zingine kama phermacy ,medical Lab hamna ulazima degree kweny ngazi ya zahanati na kituo cha afya...nadhn utakuwa umeelewa nilikuwa namaanisha nini kwnye swali langu...
 
Na kuifupisha zaid ni kwamba...sio kila sehem wanapotibiwa watu panapaswa kuitwa hospitali kulingana na ngazi za matibabu...mfano PT wana hospital iko kilwa road ile inaitwa hospital ya polisi...ila sehemu zingine wana zahanati na vituo vya afya mfano mwanza mabatini,ukonga FFU, dodoma piah kuna kituo cha afya n.k n.k ahsante.
 
Ukonga kuna hospital ya magereza

Na kama izo degree wangekuwa hawaziitaji kwanini wametoa tangazo la kuwahitaji watu wa fani zilizotajwa pale kwenye tangazo
Sijasema hawazihitaji... na kuongelea ukonga. Mi nakaa ukonga mombasa nna marafik piah ni maaskari pale... kama uliinilewa kuhusu utofaut wa hizo huduma za afya. Ukonga hamna hospital kuna kituo cha afya gereza la ukonga.
 
Sema username yako braza [emoji119]...tamisemi ina vituo vya zaid ya 2000 nchini nzima.lkn jana wametoa majina ya ajira za afya. Kaangalie ukikuta pharmacy degree au medical lab degree wanazid 20. Screenshot nitumie... je Magereza itakuwaje...degree inaweza kutmik sehm nyingi hata kweny leadership...ila kama wataaangalia uhitaji wa huduma zao believe me magereza hawana huduma za afya za kujaza degree. Labda sekta zingine.
 
Wenye elimu za juu tutalalamika sana lakn ki uhalisia majeshii uhitaji na mchache sana tena kwa mahitaji maaalum ndo maana ata wanatoboa mikataba % kubwa ya watu ambao wamekosa fursa na wapo mtaan ni graduate. Tukubali zama zimebadilika ndan vyomba vya ulinz na usalama uhitaji wenye elimu za juu ni wa maelkezo
 
Umenena vyema...
 
Sema username yako braza [emoji119]...tamisemi ina vituo vya zaid ya 2000 nchini nzima.lkn jana wametoa majina ya ajira za afya. Kaangalie ukikuta pharmacy degree au medical lab degree wanazid 20. Screenshot nitumie... je Magereza itakuwaje...degree inaweza kutmik sehm nyingi hata kweny leadership...ila kama wataaangalia uhitaji wa huduma zao believe me magereza hawana huduma za afya za kujaza degree. Labda sekta zingine.
Achana na username itakupotezea muda baki kwenye hoja.

Tangazo la magereza walisema wanataka MD unataka kusema walikosea au

Haijalishi idadi ni ngapi cha msingi wao wanataka MD sasa wewe unasema haina umuhimu wakati wao wahusika wamesema wanataka MD
 
Back
Top Bottom