Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Achana na username itakupotezea muda baki kwenye hoja.

Tangazo la magereza walisema wanataka MD unataka kusema walikosea au

Haijalishi idadi ni ngapi cha msingi wao wanataka MD sasa wewe unasema haina umuhimu wakati wao wahusika wamesema wanataka MD
Ok. Braza unachosema ni kweli
 
Wenye elimu za juu tutalalamika sana lakn ki uhalisia majeshii uhitaji na mchache sana tena kwa mahitaji maaalum ndo maana ata wanatoboa mikataba % kubwa ya watu ambao wamekosa fursa na wapo mtaan ni graduate. Tukubali zama zimebadilika ndan vyomba vya ulinz na usalama uhitaji wenye elimu za juu ni wa maelkezo
Sahihi 100%
 
Achana na username itakupotezea muda baki kwenye hoja.

Tangazo la magereza walisema wanataka MD unataka kusema walikosea au

Haijalishi idadi ni ngapi cha msingi wao wanataka MD sasa wewe unasema haina umuhimu wakati wao wahusika wamesema wanataka MD
MD wanahitajika ni kweli na sipingi...ila sio katika wingi ambao watu wanautegemea ndo maana nikakupa mfano ajira za wizara ya afya walikuwa wanataka MD 15. Hiyo ni wizara ya afya. Imagine magereza.
 
Sikatai kwamba uhitaji ni mchache

Point yangu ni pale uliposema haina umuhimu ndipo nilipokataa
 
Samahn braza. Sasa tuongelee uhalisia tuache kujipa moyo.
Hzi zilikuwa ni ajira za wizara ya afya MD needed walikuwa ni 15. Imagine MT itakuwaje
Screenshot_20230606-120629_WPS%20Office.jpg
 
Samahn braza. Sasa tuongelee uhalisia tuache kujipa moyo.
Hzi zilikuwa ni ajira za wizara ya afya MD needed walikuwa ni 15. Imagine MT itakuwajeView attachment 2647674
[emoji16][emoji16][emoji16]

Daah nahisi kuna sehemu hatuelewani

Sikatai kwamba uhitaji ni watu wachache ila haimaanishi kwamba haina umuhimu

Yani kwa magereza hata wakichukua MD wawili you haimaanishi kwamba haina umuhimu

Point yangu unaielewa lakini
 
Usahili wa PT mwaka waliita watu wengi sana kweny usahili...nurse degree waliitwa 80. Watu wakadhn kweny hawa 80 labda 15 wanaweza kuchukuliwa...mkeka ulivyotoka degree hawakuzid hata wanne...na kuna afande alitutonya pale kweny usahil kuwa mmeitwa wengi ila wanagitajika ni wachache watu wakaanza kubisha kichichini[emoji16].
 
Nimekuelewa na siko against na ww... just insisting jins ngoma ilivyo ngumu bila maelekezo
 
Usahili wa PT mwaka waliita watu wengi sana kweny usahili...nurse degree waliitwa 80. Watu wakadhn kweny hawa 80 labda 15 wanaweza kuchukuliwa...mkeka ulivyotoka degree hawakuzid hata wanne...na kuna afande alitutonya pale kweny usahil kuwa mmeitwa wengi ila wanagitajika ni wachache watu wakaanza kubisha kichichini[emoji16].
[emoji16][emoji16][emoji16]mwendo ni ule ule si unaona utumishi na tamisemi jam kama lote
 
Sema username yako braza [emoji119]...tamisemi ina vituo vya zaid ya 2000 nchini nzima.lkn jana wametoa majina ya ajira za afya. Kaangalie ukikuta pharmacy degree au medical lab degree wanazid 20. Screenshot nitumie... je Magereza itakuwaje...degree inaweza kutmik sehm nyingi hata kweny leadership...ila kama wataaangalia uhitaji wa huduma zao believe me magereza hawana huduma za afya za kujaza degree. Labda sekta zingine.

Kuchukua degree watachukua ila ni Wachache mno sema we ni kabishi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kama pt tu first na second selection kitengo cha forensic hawazidi watu watano kwa course zote af we unategemea watajaza……. Kuajiri wataajiri ila niwachache mno usichangae wakachukua hata md 8, medical lab 5 ivo yan
 
Sema username yako braza [emoji119]...tamisemi ina vituo vya zaid ya 2000 nchini nzima.lkn jana wametoa majina ya ajira za afya. Kaangalie ukikuta pharmacy degree au medical lab degree wanazid 20. Screenshot nitumie... je Magereza itakuwaje...degree inaweza kutmik sehm nyingi hata kweny leadership...ila kama wataaangalia uhitaji wa huduma zao believe me magereza hawana huduma za afya za kujaza degree. Labda sekta zingine.
Kwahyo lile tangazo la kutaka wenye degree walikosea tu kutuma hawaitajiki kabisa degree?

Ukisema ni wachache wanahitajika maana yake unapingana na kauli yako tena maana hata akiajiriwa mmoja au wawili bado huo ni uhitaji hamuwezi ajira wote
 
Sijasema hawazihitaji... na kuongelea ukonga. Mi nakaa ukonga mombasa nna marafik piah ni maaskari pale... kama uliinilewa kuhusu utofaut wa hizo huduma za afya. Ukonga hamna hospital kuna kituo cha afya gereza la ukonga.
Mkuu wewe ni mtu wa Afya kweli umeelezea micjango yako vizuri na unaeilewa kweli kada ya Afya iko hivi Ukonga kule ilipo kambi ya kikosi Maalum Magereza wamejenga Hospitali kuu ya Jeshi, Yenye hadhi ya Hospitali kabisa kwasasa unavyosikia Serikali imejenga EMD kwa hospitali za Halmshauri karibia nchi nzima basi na Magereza wamwpewa zaidi ya 500B na Serikali wamejenga EMD yakisasa na full equiped wanamalizia baadhi ya majengo

Pia inajengwa hospitali nyingine yenya hadhi ya Hospitali pale Makako Makuu Msalato nayo itakuwa full equiped kama ile ya Ukonga Before walikuwa na kituo cha Afya pale Getini ukonga na kule Chuo Cha Taaluma za Urekebishaji pia wamejenga Hospitali pale pape Ukonga
 
Ahsante sana Mkuu... kwa kunipa info. Nahilo ndo jibu nilikuwa nahitaji kule juu. Ahsante sana.
 
Back
Top Bottom