Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

yaan jeshini shuguli moja haiwez kuharib shughur nyingine,ungekua umekaa angalau miaka mi3 kule ungenielewa,
Tunazungumzia kwa situation kusema kozi ya ajira kufanyika ni ngumu mpaka Mujibu wamalize maana Rts Oljoro kuna wanaenda Mujibu
 
Watu wasichokijua kuwa jkt ni moja ya kamandi za jwtz ambapo kila kitu kinaingiliana tofauti tu ni majukumu.
Ndani ya jeshi la wananchi jwtz kuna kamandi tano ambapo ndio muundo wa jeshi
1.kamandi chini ya makao makuu ya jeshi MMJ
2.Kamandi ya jeshi la wanamaji navy force
3.Kamandi ya jeshi la ardhini Land force
4.Kamandi ya jeshi la anga airforce
5.kamandi ya jeshi la kujenga taifa jkt
Sahihi
 
Au Op merelani wa 835 kj walipiga kozi huku kukiwa na kozi ya rts bogi maalum hapohapo wanapiga kozi,kwani we hujapita jkt ? mbona kama hauelew kinachoendeleaga kule
 
Wakubwa samahan....iv Tanapa
Kitengo cha RANGER LAW ENFORCEMENT.
Unaweza apply kwa cheti cha CSEE NA JKT MUJIBU?
 
Tunazungumzia kwa situation kusema kozi ya ajira kufanyika ni ngumu mpaka Mujibu wamalize maana Rts Oljoro kuna wanaenda Mujibu
Hiyo inawezekana mkuu kupiga course zaidi ya moja kwa wakati mmoja kwenye kambi moja, maana zile kambi ni kubwa na kila bogi linakuwa na wakufunzi wake hivyo hamuingiliani, nakumbuka wakati niko mujibu kuna bogi la madoctor waliotakiwa kwenda monduli course yao ya kuanzia tulipiga nao pale

Tulikuwa tunaonana na kupishana nao karibu kila siku na siku wanafungua course tuliwaona wanavyopigwa intro, walitoka kikosini saa kumi na mbili asubuhi na combat safi kabisa wakarudi saa nne asubuhi wamechafuka matope hawatamaniki, huku wengine wanatembea kama viwete

Sisi tukienda kulala tunawaona hao wanabeba magogo wanaondoka, hadi wanamaliza six weeks za mkesha tulikuwa pale, sema sisi tulitangulia kuondoka tukawaacha maana walitukuta
 
Okay sikuwahi kusikia icho kitu
 
Mkuu kambi gani hii ilikua?
 
Bila shaka ulipiga ruvu jkt op MAGUFULI 2016
 
Back
Top Bottom