Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Wapi huko na vipi tetesi za miezi 7/8 apo ndo imepigwa As you were?Taarifa nilizopatani kuwa mwezi huu mwishoni watu wataitwa sehemu X iliyoteuliwa kwaajili ya Kozi.Usaili utafanyika hukohuko wakifika,Hii ni kwa wale wa TPDF.
Mkuu hawa ni kundi lipi?Taarifa nilizopatani kuwa mwezi huu mwishoni watu wataitwa sehemu X iliyoteuliwa kwaajili ya Kozi.Usaili utafanyika hukohuko wakifika,Hii ni kwa wale wa TPDF.
It means badala ya kufanya usaili mwez wa saba wataanza kuita watu kwa sms na simu mwezi wa sita mwishoni mpka wa saba so kozi inaweza ikaanza wa saba mwishoni au wa nane.Nitawajulisha taarifa zaidi nikipata asante.Wapi huko na vipi tetesi za miezi 7/8 apo ndo imepigwa As you were?
Wametangaziwa kwa waliopo kambini jkt hizo taarifa,Kwa swali lako ngoja niulize vzr den nitakurudia.Mkuu hawa ni kundi lipi?
Lonja kali sana shukrani mkuuIt means badala ya kufanya usaili mwez wa saba wataanza kuita watu kwa sms na simu mwezi wa sita mwishoni mpka wa saba so kozi inaweza ikaanza wa saba mwishoni au wa nane.Nitawajulisha taarifa zaidi nikipata asante.
Nakubali mzee wangu.Wametangaziwa kwa waliopo kambini jkt hizo taarifa,Kwa swali lako ngoja niulize vzr den nitakurudia.
Sio kwamba MD wizara ya afya hawawahitaj...ila ni bajet tu...lakini pia mwaka jana hao wizara ya afya wamechukua MD zaidi ya 200+ na wakatawanywa hosp zote za mikoa...uhitaj kwa mwaka huu sio mkubwa kuliko ulivyokuw mwaka jana.. lakini pia huko magereza wana vituo vya afya...kwenye health Centre hizo chache ambazo MT wanazo unataka MOI awe CO...definitely u will need MD for supervisory role as well...MD wanahitajika ni kweli na sipingi...ila sio katika wingi ambao watu wanautegemea ndo maana nikakupa mfano ajira za wizara ya afya walikuwa wanataka MD 15. Hiyo ni wizara ya afya. Imagine magereza.
Hahaha ila majina yako shortlisted tyr.
Washayaachia ?Hahaha ila majina yako shortlisted tyr.
Hapana ila ofisi tyr yako shortlisted kuna mtu anafukuzia ndo alinambiaWashayaachia ?
Masta vip tupe ronja nimeskia et jamaa leo wako usahili siku ya 3Sio kwamba MD wizara ya afya hawawahitaj...ila ni bajet tu...lakini pia mwaka jana hao wizara ya afya wamechukua MD zaidi ya 200+ na wakatawanywa hosp zote za mikoa...uhitaj kwa mwaka huu sio mkubwa kuliko ulivyokuw mwaka jana.. lakini pia huko magereza wana vituo vya afya...kwenye health Centre hizo chache ambazo MT wanazo unataka MOI awe CO...definitely u will need MD for supervisory role as well...
Mkuu tupe teteso za MT nimeskia juu juu kuwa watu wamepiga usahili na leo siku ya 3Nakubali mzee wangu.
MT usaili bado haujafanyika na wala hakuna watu wanaofanya usaili. Wapo kwenye hatua za mwisho kabisa za kukamilisha vijana watakaokua shortlisted then waitwe Dodoma, Makao Makuu kwa ajili ya usaili.Mkuu tupe teteso za MT nimeskia juu juu kuwa watu wamepiga usahili na leo siku ya 3
NdioWakuu samahani...izi post za rangers na law enforcement za tanapa
Jkt mujibu walikuwa wanauwezo wa kuomba?